Kama kichwa cha Posti kinavyojieleza, ninaishi Dar es Salaam jiji la joto jingi baridi nadra labda tu ikitokea malaika wa baridi amefurahi kama ilivyotokea mwaka mmoja kati ya 90 ambapo watu waliota moto usiku, hiyo ndiyo hali ya hewa nilipo.
Ardhi ni mchanga zaidi usiojulikana mchanganyiko...