Wakuu,
Kwa press hii ya Lissu si siri tena kuwa CHADEMA kuna mtufuano wa maana. Yaani Lissu kaamua kuchomoa berti. Kwa hatua hii msituambie kuwa hapa wamapenga, ndani hakuna shida, kwa hizi spana za leo Lissu kaamua liwalo na liwe.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Mtasubiri sana...
Yapo madai kwamba mikutano mwingine ya Chadema inaruhusiwa na Polisi lakini baadaye Polisi wanaizuia kutokana na shinikizo kutoka ndani ya Chadema.
Sasa tunakwenda kwenye huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: matumaini yangu ni kwamba itakuwa Uchaguzi wa amani.
Huu ni Uchaguzi ambao utaonyesha...
Kuna watu hapa hawasalimiani, Lema mpaka anakimbia anaogopa kugombea kanda, shughuli ya mitandaoni hiyo, katandikwa mtandaoni mwenyekiti wa kanda mwenye mamlaka ya kanda yake, kiongozi wenu, wako viongozi ambao ni wa kawaida kabisa wa majimbo, wa wilaya, wananchama wa kawaida wanaweza...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono πππ₯
======
Freeman Mbowe akikanusha...
chademachadema wavurugana
chama cha demokrasia na maendeleo
freeman mbowe
lissu kuondoka chadema
mbowe na lissu hawapatani
mgogoro chademampasukochadema
operation karatu
tundu lissu
Tulioshuhudia NCCR ikisambaratika kama tikiti maji lililotupwa kutoka ghorofa ya 50, sasa, kwa macho yao, watashuhudia anguko la chadema.
Chama hicho ambacho kinajinasibu kwa kula rushwa, kimejikuta kikining'inia kwenye uzi mwembamba, na ni dhahiri kitapasuka.
Pia soma
CHADEMA itaingia...