mpenzi mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    Nimepata mpenzi mpya, nampatia pesa anaikataa, hivi ananipenda kweli?

    Natumai mko salama, Wiki iliyopita nilibahatika kukutana na binti ambaye kutokana na maono ya pendo langu, nahisi nimepata wa kuendana nae. Siku ya Jumapili jioni nilimuomba tukutane somewhere. Tulijuliana hali, nikatoa kiasi cha Tsh.70 kwa ajili ya matumizi binafsi ya siku mbili tatu pamoja...
  2. M

    Majaribu tumeumbiwa wanadamu

    Habari Wana wa JF... Mimi ni muhanga wa kutalakina. Kesi yangu ya talaka ilifunguliwa tokea 2018 mpk Leo Bado haijaisha. Ilianzia primary court mpk Sasa ipo high court tusijadili maana ndo mambo ya kisheria yaache tu Sheria uchukue mkondo wake. Ipo hivi baada ya kutengana na X wangu nikapata...
  3. Extrovert

    Ladies kama mpenzi wako hana pesa solution ni kutafuta kazi sio mpenzi mpya

    Sio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi...
Back
Top Bottom