mpenzi wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Anayetuhumiwa kumuua mwanariadha Rebecca Cheptegei naye aaga dunia akiwa hospitali

    Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini. Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia petroli na kumchoma moto, amefariki kutokana na majeraha ya moto aliyoyapata wakati wa shambulio...
  2. Mzee Mwanakijiji

    Yule ambaye hamkuoana japo mlipendana. Ukimkumbuka unafanyaje?

    Baadhi yetu tuna kumbukumbu fulani za mpenzi yule ambaye unajuta hadi mtondogoo kwanini hamkuoana. Mlipendana, mlipeana, mliliwazana, mliinuana hadi familia ziliweka alama za tiki. Kila mtu mtaani alijua nyinyi ni wenza. Mara puu!! Hamkufunga ndoa si kwa kuachana au kugombana yaani hadi kesho...
  3. Dasizo

    Ni kipi ukipewa na X wako huwezi kukataa?

    Wadau hebu tupeane A ,B C za ma ex wetu
  4. M

    Nimeanza mwaka kwa kupiga simu ya ma X!

    Habari, Kuna namba za ma x nimepotezana nao kitambo. Nikaamua mwaka huu namba ambazo hazina umuhimu ni kbra kupunguza storage. Nikaanza kuzipiga, yaani kumbe bado hawajanifuta; zaidi wameniambia tutafutane. Naogopa maana ni muda mno umepita sana na sasa kudanga ndo habari ya mjini. Vipi wewe...
  5. mambo ya nyakati

    Nahisi bado anawasiliana na mpenzi wake wa zamani

    Ushauri, Juzi nipo na mpenzi wangu tumekaa tunapata kinywaji, harakati za hapa na pale nikahisi jambo kwenye simu yake. Kumpokonya simu, simu ikaleta password kila file, ila mwanzo haikuwa na password kwenye mafile. katika ugomvi wa hapa na pale akasusa, kaacha simu yake akaondoka kwao, me...
  6. Desire mobutu seseseko

    Inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa sawa kwenye mapenzi yenu?

    Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha.. Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa ubaya? Kiiufupi miaka sita hivi imepita lakini saiv mawalisiano yamerudi kiasi fulani..pamoja na...
  7. HUKU ABROAD

    Rafiki wa mpenzi wangu wa zamani ananitaka

    Hii ni wiki Sasa jaman nimekuwa nikipokea txt za I miss you , uko wap sikuhiz , njoo kwangu Hizo zote nimeogopa kujibu kwasababu nimehisi ananitaka kimapenzi na mengine naona Hata haibu kuandika humu, lakini naomba ushauri je nipite nae jaman au nifanyeje?
  8. Misunderstood

    Hivi hii tunaiitaje kitaalamu?

    Nimetoka kazini nimeshuka zangu kituoni paaap! Ghafla namuona ex wangu ambae hatujaonana takriban mwaka naaa hivi! Asee nikapanic bila kujielewa nikaingia dukani nikaanza kununua vitu ambavyo sivihitaji ilimradi nisionane nae, nimenunua mivitu kibao ili nipoteze muda! Kutoka kumbe ameniona...
  9. Donatila

    Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

    Wakuu, Hapa ninavyoandika ni kuwa harusi inanguruma kanisani na ni karibu na maeneo ya shoga yangu kipenzi. Alinipigia simu nikambembeleze maana mwanaume aliyekuwa naye alimuacha kwa kuwa alimnyima 'utamu' . Ananiambia huyo jamaa walikaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi ila jamaa alikuwa...
  10. tang'ana

    Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

    Mambo vipi watu wa Mungu? Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani. Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua...
Back
Top Bottom