Ushauri,
Juzi nipo na mpenzi wangu tumekaa tunapata kinywaji, harakati za hapa na pale nikahisi jambo kwenye simu yake. Kumpokonya simu, simu ikaleta password kila file, ila mwanzo haikuwa na password kwenye mafile.
katika ugomvi wa hapa na pale akasusa, kaacha simu yake akaondoka kwao, me...