Haya haya sasa
March ndio hii
Swali kama mmeliona hapo
Msaidieni mwenzenu
Mpenzi wake ni mweupe, mwanaume Mbongo na mweupe sio mzungu
Ila ana kibamia na hatoi hela
Afanyaje?
Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Faith inaripotiwa kuwa aliondoka nyumbani kwa wazazi wake, na katika kundi...
Sitaki kutia chumvi yoyote,
Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya biashara
👉Mwanadada anaona kama kipengele cha elimu kinapwaya
👉Now she is 27
👉Vipi amuache jamaa...
Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha.
Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani!
Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
Hamisa Mobeto ni Simba kindakindaki. Simba inapofungwa anakosa amani hadi kuugua na furaha yake ni pale Simba inaposhinda. Tofauti na ilivyo kwa Aziz Kii ambaye hana ushabiki kwa Yanga wala Simba, yeye yupo nchini kwa maslahi (ajira). Hivyo hata ifungwe Yanga yeye haitamuumiza, ataonyesha...
was a happy family.
Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni.
Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali.
Mwanamke kagundua zile plans ni utapeli anajitahidi kurudi kwa jamaa yake aliyekua anampa japo kidogo nako...
Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC. Mobetto ameachia picha na video akiwa pamoja na MVP wa Ligi ya NBC msimu wa 2023/24 wakiwa pamoja wakila maisha.
Soma:
Hamisa Mobetto yupo jukwaa bwana akimtazama Aziz Ki dhidi ya...
Jamani wanaJukwaa. Huku kuingilia mapenzi ya watu na kujifanya mwema wakati mwingine tuangalie na kuwa makini
==============
Mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Akwii ambaye ni mlinzi na mkazi wa Kimandolu mkoani Arusha ameuwawa kwa kupigwa na kitu kizito kilichodhaniwa kuwa nondo mara...
Kesi ya Mwanamke aitwae Sarah Boone (46) wa Florida Nchini Marekani anayetuhumiwa kwa kusababisha kifo cha Mpenzi wake ( Jorge Torres 42) kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo na kumsababishia kukosa hewa kulikosababisha kifo chake mwaka 2020, inatarajiwa kusikilizwa wiki ijayo baada ya kusogezwa...
Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow?
Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya.
Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake.
Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura.
Video hiyo ilinaswa kwenye moja ya hoteli waliyoenda kwa...
Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi.
Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
Haya ni mawasiliano ya GENTAMYCINE na Mpenzi wake natasha B Mwenzetu kayatimba na Rasmi sasa kaachika na Tunajua kumbe alienda Uganda kwa hisani kwenda kufanya kazi kwenye Kampuni ya Magali ya Modern Coast..
Habar Mwanajukwaa la Mahusiano.
Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa?
Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta...
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mahakama kumkuta Mwigizaji huyo na hatia ya kumpiga na kumnyanyasa kimwili, Grace Jabbari, aliyekuwa mpenzi wake amnaye alimfungulia Kesi Majors Machi 2023.
Katika mashtaka, Grace alidai alikuta Meseji za Mapenzi kwenye Simu ya Majors na alipojaribu kuchukua SImu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.