mpiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trainee

    Serikali iweke utaratibu wa kuhariri taarifa za NIDA kama tunavyohariri taarifa za mpiga kura

    Kama ilivyo kawaida yangu, Niliuliza kwanini kwenye uandikishaji wa wapiga kura watu wanarahisishiwa kwa kufuatwa kwenye vitongoji vyao na mambo yanaenda vizuri tu lakini kwenye swala la namba ya NIDA hawataki kuwasogezea wananchi huduma kwenye vitongoji vyao Nikajibiwa NIDA ni swala nyeti...
  2. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mwenezi Zangina Alivyokita Kambi Uandikishaji Daftari la Mpiga Kura Manispaa ya Morogoro

    Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kuhani Zangina S Zangina, kipindi cha Uandikishaji Wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura 2025 alitembelea maeneo mbalimbali ya Manispaa akianzia Ofisi ya CCM Wilaya ya Morogoro Mjini na kufika kwenye Kata. Mwenezi Zangina...
  3. Don Billionea

    Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia

    Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia. Mtaani kwetu vibanda vya kujiandikisha vipo ad leo na hakuna watu, watu wanasubiriwa adi wanatangaziwa mitaani mkajiandikishe, ila lilipokuja suala la NIDA walifanya chapchap wanafika saanne asubuh...
  4. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 RC Dk. Batilda: Amewataka wananchi wa Tanga kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao. Zoezi hilo linatarajiwa kuanza kesho, Februari 13, na kumalizika Februari 19 mwaka huu. Soma Pia: Special...
  5. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Tume Uchaguzi: Wapigakura 594,494 wanatarajiwa wakuondolewa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kwa kukosa sifa

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7 ya wapigakura 29,754,699 waliopo kwenye daftari baada ya uboreshaji uliofanyika mwaka 2019 mpaka 2020. Mkurugenzi wa...
  6. Mindyou

    Pre GE2025 Lindi: ACT Wazalendo walalamikia mchakato wa uandikishaji daftari la mpiga kura. Wasema hawajashirikishwa

    Chama cha ACT Wazalendo mkoani Lindi, wametoa malalamiko yao mbalimbali kwa Afisa mwandikishaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mjinga pamoja na Jimbo la Lindi mjini Bwana Juma Mnwele kutokana na kutoshirikishwa katika masuala ya uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Lindi: Viongozi, Wananchi wajiandikisha daftari la mpiga kura, wahamasisha wananchi kujitokeza

    Wapiga kura wapya 102,668 wanatarajiwa kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Manispaa ya Lindi kupitia zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa za wapiga kura lililoanza Januari 29 hadi Februari 3,2025 Mkoani Lindi. Uandikishaji huo kwa upande wa Manispaa ya Lindi ni kwa...
  8. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Kigaila: Hakuna mpiga kura amenyimwa kitambulisho

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho, kunyimwa vitambulisho. Soma Pia: Wajumbe wanaomuunga mkono Lissu wanyimwa vitambulisho ili kesho...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Zoezi la kujiandikisha daftari la Mpiga Kura Mtwara kuanza Februari 27, 2025

    Mabalozi wa CCM wilaya ya Mtwara Mjini wametakiwa kuhamasisha wananchi, hasa vijana, mama lishe, na wanachama wasiokuwa na vitambulisho vya mpiga kura, kushiriki kwenye zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura linalotarajiwa kufanyika Februari 27, 2025. Soma, Pia: Afisa...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 RC Iringa ahimiza wananchi kushiriki kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wananchi wilayani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura huku akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni kutekeleza haki yao ya Kikatiba kuchagua viongozi wanaotaka kuwaongoza katika jamii. Pia...
Back
Top Bottom