mpiga picha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Videographer, photographer and graphic designer. Chagua huduma uitakayo hapa

    Mambo vp wakuu, Nafahamu sekra uliyopo au kazi unayofanya au biashara unayofanya utahitaji moja ya huduma hizi nitakazo zitaja hapa 👇👇 DOCOMENTARY(MAKALA) Na produce, direct na kushoot documentary nzuri na za kuvutia. Kwa taasisi na mashirika ya serikali na yasio ya serikali huwa zinafanya...
  2. Kaka yake shetani

    Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
  3. Mohamed Said

    Tujikumbushe...Mohamed Shebe Mpiga Picha Aliyehifadhi Historia ya TANU na ya Mwalimu Nyerere na Mengineyo Yaliyokuwapo 1950s

    https://youtu.be/5Ien7R24MA0?si=GN5lEs68WWX1OLq6
  4. Fundi manyumba

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  5. Jaji Mfawidhi

    Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  6. Mkaruka

    Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

    Kwa anayejua!!!
  7. John Haramba

    Mbeya: Polisi wamshikilia Diwani na wenzake kwa kumpiga mpiga picha

    Mnamo tarehe 03.03.2022 majira ya saa 08:00 asubuhi huko Mtaa wa Igodima, Kata ya Iganzo, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Kijana aitwaye SHADRACK ZACHARIA [28] Mpiga Picha na Mkazi wa Igodima Jijini Mbeya anayeonekana kwenye “clip” ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akishambuliwa...
  8. Mohamed Said

    Picha kutoka jicho la camera ya Mohamed Shebe

    PICHA KUTOKA JICHO LA CAMERA YA MOHAMED SHEBE Picha ya kwanza ni mkutano wa TANU Mnazi Mmoja mwaka wa 1954. Ukiangalia utaouona na mnazi mmoja wenyewe. Angalia na nyumba za Gerezani kama zilivyokuwa katika miaka ya 1950. Picha ya pili ni Bantu Group vijana wa TANU waliokuwa wahamasishaji na...
Back
Top Bottom