Wakuu narudia tena, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu mchapa kazi wa wakati huo Edward Lowassa aliundiwa zengwe na wabunge wahuni akina Arison Mwakiembe.
Spika wa wakati huo Samweli sitta bila kutafakari akawapa go ahead wahuni hao kutangaza uongo wao na kama kawaida ya uongo unaposemwa sana...
Tangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge.
Zaidi ya 98% wanaona Mpina hakutendewa haki.
Zaidi sana wameichukia serikali hii kwa kiwango kisichoelezeka, hasa kwa kosa la kuwakumbatia MAFISADI...
Mbunge Luhaga Mpina amesimamishwa kushiriki vikao kumi na tano vya Bunge, lakini mimi nitasimama upande wake daima. Mpina ni mtoa taarifa muhimu kuhusu jambo ambalo wengi hawalijui, na hivyo ingekuwa vyema Bunge likaunda Kamati ya kuchunguza ukweli wa jambo hili.
Je, inakuwaje Waziri Bashe...
Bunge limtoa adhabu ya juu kabisa kwa kile kinachoonwa ni dharau ya Mpina kwa Spika wa Bunge. Na kwa kifupi sana, bila kutoa maelezo kamati ya maadili imetamka kwamba Bashe hakusema uongo, ikimaanisha kwamba ushahidi alioutoa Bashe, ambao uko wazi sana ni jinsi gani Bashe alidanganya, unaonwa...
Kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge #84 (3) (a) ya mwaka 2023 amekutwa na hatia na Kamati ya Hadhi na Madaraka ya Bunge.
Tuendelee kufuatilia bunge
≈=====================
"Mheshimiwa Luhaga Mpina (Mbunge wa Kisesa) alimtuhumu Mheshimiwa Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) kuwa amelidanganya...