Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu.
Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu wa mbunge aliyehoji Kampuni isiyoweza kukopesheka hata mkopo wa million 5 kupewa kibali cha kuagiza...
Katika mahojiano yake na mwandishi wa Habari Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi, Joseph Selaasini amesema;
"Mpina aliliona hili, sababu alikuwa akipata upinzani wakati anaongelea suala hili bungeni, sio tu kutoka kwa spika bali hata kutoka kwa wabunge wenzake. Kwa maslahi ya nchi aliona alipeleke...
Nchi hii, kuna watu wengi wenye elimu nzuri na akili pia, LAKINI unafiki wao na uchawa vimewafanya wapoteze weledi na akili ya reasoning na argument, kiasi cha kuwafanya waonekane kama ni watu wasio na weledi wala uelewa.
Tambueni kuwa Spika Tulia ni mwanasheria, tena mwenye shahada tatu kwenye...
Hili sakata wakati nasoma uzi humu kwa mara ya kwanza nilikuwa sijalielewa lilivyo. Nikasema acha nizame U-tube kujua likovipi ndio nikapata kuelewa mwanzo, kati na mwisho ulivyo hebu twende pamoja kwa ambaye hajaelewa kama mimi kwa Lugha nyepesi
Iko hivi waziri wa kilimo wakati anawasilisha...
Igweeeee wana kidoni wazee wakunusa mbali tuna kuja na hii mpya kuliko zote. Kwanza tuanze kwanini Bashe ameingia kwenye vita kali na Mpina? Je, chanzo ni kitu gani na siri nikitu gani.
Awali ya yote ni lazima mjue Mpina sio wa anga hii wala sio wa type yao... mbaya kuliko yote ni moja ya watu...
Kinachomtokea Mbunge Mpina katika hili sakata la maumivu ya Sukari na ushiriki wa Waziri Bashe na hujuma zake ni wazi ni njama za Spika wa Bunge Dr Tulia kushirikiana na serikali kuwafunga mdomo wabunge wazalendo na watetezi wetu Bungeni.
Spika kajitoa katika uwakilishi wa wananchi kama...
Luhaga Mpina anazingumza na Waandishi wa Habari kuhusu kinachoendelea kati yake na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu hoja ya sukari ambayo ilianzia Bungeni.
======
Mpina asema wakati wa Mjadala wa kupisha makadirio ya mapato na matumizi aliagizwa na Spika wa Bunge kupeleka ushahidi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.