Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July - Oct 2025.
Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe.
Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha bendera yao.
Hii siasa imeka mkao wa kibabe sana ukizingatia Mpina ni Team JPM damu damu.
Bado...