mpina na sakata la sukari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Pre GE2025 Mpina alikuwa sahihi kuagiza sukari nje ni kupoteza fedha za kigeni

    Kwa kumbukumbu zangu, katika taarifa yake kwa waandishi wa habari, Mhe. Mpina alisema kuagiza sukari nje ni kupoteza fedha za kigeni. Jana tarehe 04/08/2024, Mama Samia anaripotiwa kukirii japo hakunyoosha maelezo kuwa tunapoteza fedha za kigeni ambazo tungeweza kuzitumia kwa mambo mengine na...
  2. M

    Luhaga Mpina, kwanini umewaroga Watanzania?

    Tangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge. Zaidi ya 98% wanaona Mpina hakutendewa haki. Zaidi sana wameichukia serikali hii kwa kiwango kisichoelezeka, hasa kwa kosa la kuwakumbatia MAFISADI...
  3. Godbless Lema apongeza harakari za Luhaga Mpina

    Katika ukurasa wake wa X (Twitter) Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini amepongeza harakati zinazofanywa na Luhanga mpina katika kupambania maslahi ya nchi. Katika andiko hilo Lema anaandika Heshima ni bora kuliko dhahabu na fedha.Unafanya kazi nzuri,umekuwa jeshi la...
  4. Hongera Mpina, hoja yako imeeleweka vyema kwa Wananchi Wazalendo

    Kilichotokea kwa Mpina Bungeni, ni kile kilichotarajiwa. Na wala hakuna anayeyashangaa maamuzi ya Bunge, zao la uovu wa 2020. Bunge ambalo nalo ni matunda uovu na uchafu wa mwaka 2020, limeendelea kudumu katika kanuni ya upatikanaji wake. Ni Bunge la waovu: 1) Mahakama kuu ilitoa hukumu kuwa...
  5. Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, ni bora wakae kimya

    Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi. Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…