Wakili Makore ambaye ni miongoni mwa Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina waliokuwa mstari wa mbele kumsimamia kwenye kesi aliyokuwa ameifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania ,Waziri wa Kilimo na Mwanasheria Mkuu wa...
Hawa wanasiasa wa Tanzania siyo wa kuwaamini embu imagine Luaga Mpina alivyo mkanga Bashe na sisi wananchi tukaapa kumsapoti ila ajabu Leo waziri bashe amefanya ziara kisesa na kupokelewa na umati mkubwa ya watu wa kisesa pamoja na mbunge wao Luaga Mpina
Luaga Mpina ametupa sisi wakati mgumu...
Kumekucha
Muwe na weekend njema
Pia soma
Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili
Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Luhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya bunge.
Kusoma taarifa hiyo zaidi ingia kwenye link hii: Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge...
hussein bashe
luhaga mpinampinavs bashe
mpinavsspikatulia
sakata la sukari
ubadhirifu sakata la sukari
ufisadi wizara ya kilimo
uhaba wa sukari
ulaghai uhaba wa sukari
Wakuu,
Luhaga Mpina alipewa adhabu na Bunge Juni 24, 2024 baada ya kwenda kinyume kwa kuwasilisha taarifa yake kwa wananchi mara baada ya kuikabidhi katika Kamaati ya Bunge. Zaidi soma - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Usiku huu tukio linarushwa...
Katika ukurasa wake wa X (Twitter) Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini amepongeza harakati zinazofanywa na Luhanga mpina katika kupambania maslahi ya nchi. Katika andiko hilo Lema anaandika
Heshima ni bora kuliko dhahabu na fedha.Unafanya kazi nzuri,umekuwa jeshi la...
Mbunge Luhaga Mpina amesimamishwa kushiriki vikao kumi na tano vya Bunge, lakini mimi nitasimama upande wake daima. Mpina ni mtoa taarifa muhimu kuhusu jambo ambalo wengi hawalijui, na hivyo ingekuwa vyema Bunge likaunda Kamati ya kuchunguza ukweli wa jambo hili.
Je, inakuwaje Waziri Bashe...
Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu.
Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu wa mbunge aliyehoji Kampuni isiyoweza kukopesheka hata mkopo wa million 5 kupewa kibali cha kuagiza...
Kilichotokea kwa Mpina Bungeni, ni kile kilichotarajiwa. Na wala hakuna anayeyashangaa maamuzi ya Bunge, zao la uovu wa 2020.
Bunge ambalo nalo ni matunda uovu na uchafu wa mwaka 2020, limeendelea kudumu katika kanuni ya upatikanaji wake. Ni Bunge la waovu:
1) Mahakama kuu ilitoa hukumu kuwa...
Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti...
Kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge #84 (3) (a) ya mwaka 2023 amekutwa na hatia na Kamati ya Hadhi na Madaraka ya Bunge.
Tuendelee kufuatilia bunge
≈=====================
"Mheshimiwa Luhaga Mpina (Mbunge wa Kisesa) alimtuhumu Mheshimiwa Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) kuwa amelidanganya...
Ushauri wangu Kwako endelea na Ubunge wako, piga Hela, Wekeza, ukipata nafasi ya Kuiba Iba au Piga Dili ili baadae Wewe na Familia yako mje kuishi vyema. Watanzania hawabebeki na hasa hawa ambao leo unaona wanajifanya Kukupa Sapoti ni Wanafiki, Waongo na Waoga yakikukuta watakugeuka na...