Naona inasemwa semwa kwenye mitandao kwamba mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda aliyeleta tafrani katika maandalizi ya Simba ni mlezi wa timu ya Pamba na mshabiki wa Yanga ambazo zote ziko ligi kuu ya Tanzania!
Sasa zinapokutana hizi timu mbili za Pamba na Yanga anakuwa upande gani au anatakiwa...
Kama timu za Tanzania zitaendelea kuchukua makocha na wachezaji toka nchi zinazozungumza kifaransa, basi kuijua lugha ya kifaransa ni muhimu na lazima.
Wachezaji wetu wa ndani,wachambuzi wa Mpira, waandishi wa habari na makocha wetu, lazima wajue pamoja na kuujua Mpira, lakini mafanikio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.