mpira wa bongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mpira wa Bongo jau

    Mtu ametoka mkoani ametumia gharama ili akaishuhudie timu yake, Halafu mechi inahairishwa kitoto. Kweli Black race itabakia hivi hivi milele.
  2. Mpira wa bongo miyeyusho wakati mwingine, Kuna mtu anasemwa ni mlezi na mwanachama wa timu mbili tofauti za ligi moja!

    Naona inasemwa semwa kwenye mitandao kwamba mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda aliyeleta tafrani katika maandalizi ya Simba ni mlezi wa timu ya Pamba na mshabiki wa Yanga ambazo zote ziko ligi kuu ya Tanzania! Sasa zinapokutana hizi timu mbili za Pamba na Yanga anakuwa upande gani au anatakiwa...
  3. Watu wa Mpira Bongo jifunzeni Kifaransa. Mtaendelea kuaibika mpaka lini?

    Kama timu za Tanzania zitaendelea kuchukua makocha na wachezaji toka nchi zinazozungumza kifaransa, basi kuijua lugha ya kifaransa ni muhimu na lazima. Wachezaji wetu wa ndani,wachambuzi wa Mpira, waandishi wa habari na makocha wetu, lazima wajue pamoja na kuujua Mpira, lakini mafanikio ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…