Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ikumbukwe hapo jana, Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba (katikati) akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (wanne kulia) wakati wa ufunguzi rasmi wa Mashindano ya taifa ya mpira wa kikapu 2022 (CRDB Bank Taifa Cup), yaliyoanza leo kwenye uwanja wa Bandari jijini Tanga na...
Ikiwa imeaanza kwa kusuasua kwenye michezo wa Olympic, Marekani imetwaa kwa mara ya nne mfululizo medali ya dhahabu kwenye michezo ya Olympic kwa kuifunga Ufaransa 87 kwa 82.
======
Team USA secured a fourth straight Olympic gold medal as they beat France 87-82 in Tokyo.
It was the second time...
Mcheza Kikapu mstaafu nchini Marekani, Kobe Bryant 'Mamba' amefariki katika ajali ya Helikopta iliyotokea leo huko California.
Kobe mwenye miaka 41 akiwa na binti yake Gianna walikuwa miongoni mwa watu watano walikuwa wanasafri katika helikopta hiyo inayomilikiwa na Kobe ambayo imeanguka baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.