Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TISHIO LA UGONJWA WA MPOX
Agosti 17, 2024, Dodoma.
Ndugu wananchi, Itakumbukwa kwamba, Wizara ya Afya ilitoa tadhadhari kwa umma kuhusu ugonjwa wa Mpox mnamo tarehe 3 Agosti 2024. Katika kipindi chote, Wizara imeendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa ugonjwa...