Usiseme natukana watu, soma mpaka mwisho utajua kwanini kichwa cha uzi kimeandikwa hivyo.
Katika mijadala na malumbano ya hoja hapa JF, kuna watu wengi waliojaa hasira vifuani mwao. Wanakasirishwa na maneno au vitendo vidogo vinavyoweza kuepukika.
Yafuatayo ni baadhi ya mambo madogo ambayo...
Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao
Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
Mara nyingi binadamu anaongea ya moyoni wakati wa utani, akiwa ana hasira, amelewa au akiwa na furaha sana.
Hivi karibuni kuna sentensi tata imetoka kwa mkuu akisema mbwa mpumbavu anabwekea maendeleo yeti. Bila kumtaja jina, watu wengi wanabaki wanajiuliza, ni nani? Wengi tunadhani ni TAL...
Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani anahesabu na nani anatangaza matokeo, zaidi soma hapa - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea...
Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu.
Yamewahi nikuta hayo mambo ya kujifanya Nice guy ila baada ya kua katili yaani ghafla tu upepo umebadilika...
Biblia inasema kwenye Zaburi 24:1. "Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu .........".
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa hakuna Mungu!! Wanashawishika kwa mioyo yao yote kuwa hakuna Mungu!! Ukimwuliza kwa nini vitu vilivyopo ulimwenguni huitwa VIUMBE? Maana yake vimeumbwa, je muumbaji ni...
Hello JF
Ifahamike ya kwamba kanisa la Mungu aliye wa kweli Kanisa Katoliki kamwe halina tamaduni ya unafiki na kumuogopa awaye yeyote yule katika kusimamia ukweli na Imani ya Mungu wetu wa mbinguni na asitokee chawa ama ngedere awaye yeyote yule ama tumbili ama kambale ama kajoka kokote kale...
Moja kati ya viongozi jasiri kabisa kuwahi kutokea barani Afrika, kijana mdogo na mzalendo kwa Taifa lake na Afrika kwa ujumla; Capt. Ibrahim Traolè, Rais wa mpito wa Burkina Faso, amewaasa vijana wa Kiafrika ifikie mahali wajitambue (waache ujinga) na kujinasua dhidi ya ukandamizaji unaofanywa...
Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia dakika tano tu kuutazama mkataba huo na kusema haufai hata kuwa toilet paper.
Akisema kuwa haamini...
BINTI YANGU; NI AKHERI UWE SINGLE MOTHER KULIKO UISHI NA MWANAUME MPUMBAVU.
Anaandika, Robert Heriel
Baba na Mume.
Kama vile Mimi Taikon, Nyota ya Tibeli nisivyoweza kuishi na Mwanamke mpumbavu, hata angekuwa Mama yenu, vivyohivyo nilimuambia Mama yenu kuwa kamwe asijevumilia kuishi na Mimi...
Nyinyi wazee wa kiswahili mnaishi maisha ya tabu huku mkitegemea misaada kutoka kwa watoto wenu. Mtoto asipokupa msaada bila kujali hali yake unatishia kumpa laana. Wengi wenu mlioa mapema na kuzaa watoto wengi kama utitiri mlishindwa kuwaandaa na kuwatengenezea mazingira ili baadae wawe na...
Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa;
Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
Wana janvi sina mengi ,najua mpo vizuri tu, na neema ya Bwana ipo juu yenu
Husika na mada tajwa hapo juu,
Yupo ndugu Lema ambaye kwa wakati flani alikua mbunge Arusha mjini na sio mda mrefu ametoka nje ya nchi Canada alipokua kama mkimbizi wa kisiasa
Uyu mwamba moja ya kauli alizotoa akiwa...
Leo nimeona thread nyingi watu wakilalamika dada zetu kuzalishwa nyumbani na kutelekezwa ukweli ni kuwa wengi wao wazazi wao au walezi hawakusimama imara katika majukumu yao
MWANAMKE MWENYE MAKELELE
Tarehe 9/10/2021 nipo stendi ya mabasi Iringa, nimekaa karibu na wakatisha tiketi za mabasi waliokuwa wakifanya mazungumzo yao, na katika mazungumzo yale ninawasikia wakijibiza. "USIRINGE WEWE SI USHUKURU NDOA YAKO HAINA MAKELELE, MI MWENYEWE HAPA NI MNENE, BASI TUU KWA...
MHUBIRI 7
Ukweli wa maisha
1 Heri sifa njema kuliko manukato ya thamani;
Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.
2 Heri kuiendea nyumba ya matanga,
Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote, naye aliye hai atautia moyoni mwake.
3 Huzuni ni afadhali kuliko...
MWANAUME MPUMBAVU NDIO HUMPIGIA MKEWE MAGOTI;. JIONYESHE KUWA MWANAMUME
Anaandika, Robert Heriel
Shahidi
Mwanamke pekee ambaye mwanaume anaweza kumpigia magoti ni Mama yake.
Na hapa nazungumzia mwanaume sio mvulana. Nazungumzia mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 20.
Mwanaume atapiga magoti...
Wakuu Kwema!
Leo sina mengi Sana ya kusema,
Mtoto wangu aliniuliza hivi; Baba ni Dalili gani ya wazi itakayonifanya nimjue kiongozi huyu ni Mpumbavu ili nijiepushe naye?
Swali lake linashangaza Sana. Ukizingatia yeye ni mtoto wa miaka sita tuu.
Nikamjibu;
Kiongozi Mpumbavu utamtambua Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.