mpwapwa

Mpwapwa is a market town, in the Dodoma Region of Tanzania. It is the district capital of Mpwapwa District. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Mpwapwa (Mpwapwa Mjini ward) was 21,337.

View More On Wikipedia.org
  1. "SGR Imefika Mpwapwa, Lakini Mizigo Bado Inapiga Kambi Bandarini!"

    Kutokuiunganisha Bandari ya Dar es Salaam moja kwa moja na mtandao wa SGR ulikuwa uamuzi usio na mtazamo wa mbali, na ni moja ya makosa makubwa ya kimkakati katika mradi wa reli mpya. Je, Kulikuwa na Ukosefu wa Maono? Ndiyo, kwa sababu bandari ndiyo chanzo kikuu cha mizigo ya transit, na reli...
  2. Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mpwapwa: Atoa tahadhari kwa Mbowe na Lissu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Didoma, ametoa tahadhari kwa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kuacha kulalamika pindi mmoja wao atakapochaguliwa kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 21, 2025.
  3. K

    DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kuna mazingira tata, upandishwaji vyeo unafanyika kwa kujuana

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika majukumu yao. Kinachouma zaidi ni kuwa kuna watushi wana miaka zaidi ya kumi hawajapandishwa licha ya...
  4. Wanafunzi wakaidi na waanzilishi wa fujo wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Dodoma wachoma matranka na nguo za wanafunzi wenzao

    Wakaidi hao Wanajigamba hakuna Mwalimu yeyote wala Mkuu wa Shule anayeweza kuwafanya chochote, Mpaka sasa Wanafunzi wanaendelea na Masomo. Ninachojiuliza ni hivi kama wangeunguza Mabweni ingekuwaje ? Mali zote za shule kongwe kwa kweli zingeungua pamoja na Vifaa vyao
  5. E

    Simbachawene fuata yako ya jimbo la Kibakwe ya kwetu Mpwapwa tuachie tutamaliza wenyewe

    Umekuwa mstali wa mbele ukimpigia chapuo kijana Mkemwa ambaye ni wakwenu huko jimboni Kibakwe ili eti awe Mbunge wa Mpwapwa kwa sababu huyu aliyopo ameshindwa kabisa ku-crick. Huoni kamaa hututendei haki na unatuingiza chakaa kwa makusudi kabisa? Pili huoni kama waziri unapen yeza agenda zako...
  6. Mgogoro dayosisi ya Mpwapwa

    KUTOKA KANISA ANGLIKNA DAYOSISI YA MPWAPWA! Baada ya kifo cha ghafla cha aliyekuwa askofu wa dayosisi ya Mpwapwa aliyefia Tanga baada ya kuhudumu kwa siku sita tu,ukaitishwa uchaguzi mwingine ambao umeleta mgogoro wa muda mrefu tangu mwezi mei hadi leo hii. Chanzo hasa cha mgogoro huo ni mmoja...
  7. DOKEZO Barabara ya Kongwa - Mpwapwa ni tatizo

    Hakika katika wilaya nchini zinazosababisha Tanzania kuendelea kuwepo kwenye kumi bora ya nchi zenye wanachi wasio na furaha basi hii wilaya ina mchango mkubwa. Barabara ni ya vumbi na mbaya zaidi ina matuta madogomadogo a.k.a rasta ambapo kwa basi au gari mtikisiko unaotoka kwa kupita kwenye...
  8. N

    Bilioni 27 kujenga bwawa la umwagiliaji Mpwapwa!

    Source: ITV habari (saa 2 usiku). Mama, M/Mungu akutilie wepesi kwenye kila mnalolipanga.......hakika unajitahidi kuupiga mwendo. Vitendo vitasema vyenyewe baadae!
  9. Mpwapwa: Askari adaiwa kumpiga risasi mwenzie wakati wa kumkamata bodaboda

    Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
  10. Askofu wa Kanisa Angliakana Dayosisi ya Mpwapwa afariki siku 6 baada ya kuwekwa wakfu

    Katika hali ya majonzi na maskitiko askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Mahimbo Mndolwa ametangaza kifo cha Askofu mpya wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto leo tarehe 3.9.2022 ikiwani nitakribani siku sita tangu askofu huyo alipowekwa wakfu wa kuwa askofu mkuu wa dayosisi...
  11. SoC02 Janga la Njaa Mpwapwa

    JANGA LA NJAA MPWAPWA Mpwapwa ni wilaya inayopatikana mkoani Dodoma nchini Tanzania , ni wilaya yenye ardhi iinayosifika zaidi Kwa kilimo kikubwa Cha mazao ya biashata na chakula . Baadhi ya mazao yanayopatikana wilayani humo ni kama Mahindi ,Kkaranga,, mtama, alizeti, ufuta, viazi mviringo...
  12. Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  13. Safari ya Shaaban Robert kutoka Tanga kwenda Mpwapwa

    ABIRIA CHEO CHA PILI DARAJA yangu katika kazi sasa ilikuwa imeniwezesha kusafiri kama abiria wa cheo cha pili katika gari moshi. Mapendeleo haya yanayotamaniwa yalinijia baada ya miaka kumi na nane ya kazi serikalini. Julai 13, 1944, nilichukua tikiti, na baada ya kuagana na marafiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…