mpwayungu

Mpwayungu is an administrative ward in the Chamwino District district of the Dodoma Region of Tanzania. In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 13,731 people in the ward, from 12,634 in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. nipo online

    Naomba msaada wa uzi wa Mpwayungu ''Sitosahu Safari yangu ya Lindi''

    Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
  2. R

    Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Habari za asubuhi ndugu zanguni, Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private. Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
  3. Msanii

    Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

    Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani. Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila ridhaa yake. Ingawa kwa nabii Genta kuna kautofauti kwenye sarufi Turudi kwenye mada. Ndugu Mpwayungu...
  4. Carlos The Jackal

    Ya Mpwayungu Village kuhusu Mwalimu, yaungwa Mkono na KONTAWA kupitia kibao chake Cha "Mwalimu"

    Kwenye Huu Wimbo, msijikite kwa mistari pekee inayohusu Mwalimu Na Mwanafunzi,, Sikilizeni KERO na Maisha halisi ya Mwalimu wa Tanzania. Angalieni Mazingira ya Maisha ya Mwalimu kuanzia Mavazi ,Makazi, Chakula !!. Hakika ni Tanzania pekee ambapo Mwalimu anaishi Maisha ya Taabu !!.
  5. Kilimbatzz

    Mwalimu Mpwayungu Village aishi milele

    Kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwatoa watoto wetu ujinga,mwanafunzi wake mmoja huko mikoa ya kusini ameona amkumbuke Kwa njia hii Mwanafunzi huyo ambaye ameajiriwa mwaka huu hapa Katavi wilaya ya Tanganyika ameamua kulitaja jina la mwalimu huyu nguri/nguli katika moja ya maswali yake Mwalimu...
  6. D

    Yuko wapi ndugu Mpwayungu Village mdau na Mtetezi wa Sekta ya Walimu Tanzania

    Huyu mdau nini kimempata ndani ya majuma mawili sasa hapatikani au na yeye kalambishwa asali!
  7. A

    Kwako mpwayungu village

    Habari Wana bodi. Niende kwenye mada moja Kwa Moja kumekuwa na matusi na kejeli za hapa na pale zikiendeshwa na mpwayungu village. Sasa nimekuja rasmi kupambana na huyu mtu ambae anachuki za wazi dhidi ya walimu. 🌹Ewe mpwayungu village tambua kuwa Sisi walimu tunamaisha Bora na Wala hatuna njaa...
  8. YE67NBE

    Hatimaye MPWAYUNGU VILLAGE kaondolewa BAN

    Ni furaha yangu kuwajuza kuwa mwanetu Mpwayungu Village kaachiliwa huru kutoka kifungo hivyo tutegemee walimu wetu kutukanwa na kuendelea kupondwa kila siku Iitwapo leo Tumkaribishe upya
  9. Mohammed wa 5

    Unaonaga aibu kununua kitu gani dukani ukikuta muuzaji jinsia tofauti na yako?

    Mimi nikikuta muuzaji ni ke au unamkuta mama flani hivi wa makamo Kama ya bimkubwa mood ya kununua vitu hivi inaisha.. Condom Boxer Pedi kwa ajiri ya mchumba Chupi kwa ajiri ya mchumba Dawa za gono Dawa za kuongeza nguvu za kiume Energy Rasta Mafuta ya kupaka baby care Je, wewe unaonaga aibu...
  10. Jemima Mrembo

    Mpwayungu Village, kuwasema vibaya walimu na kuwatukana hakusaidii kuboresha maisha yao. Toa solution wafanye nini ili wafanikiwe?

    Mimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote. Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki...
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    Mpwayungu village omba msamaha kwa walimu, yatakukuta mazito

    Nimekaa nimewaza sana sipati majibu iweje Mwanaume kamili anawaza kua upande wa pili?..Nina marafiki wa kike kama watatu kwa nyakati tofauti nilisikia wakisema wanatamani wangezaliwa wa kiume, maana mambo yanayowakuta ni mazito. Imagine bwana mpwayungu sasahivi na hii mvua ungekua umechora saba...
  12. M

    Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Huyu jamaa anajiita mpwayungu village anakera sana, Iv wewe Mpwayungu village Unajua shida na tabu za ma nesi, na watu wenye taaluma mbalimbali ambao ni watumishi wa serikali? Lakn umekuwa mtu wa ajabu sana unadharau walimu na kuwaona kama wao ni wajinga. Acha mara moja hii tabia yako mbaya. Na...
  13. M

    Hawa Simba wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu kuchelewa

    Mimi ni Mwanayanga kindakindaki ila hii kasi ya Simba kumfunga Horoya huku kila hili lilies sawa na milioni 5 wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu ikachelewa. Simba punguzeni speed msije kumlaza njaa Mwl. Mpwayungu Village
  14. Mohammed wa 5

    Mpira (ndondo) ulifanya nikapotea Morogoro

    Habari za zenu Wana Jf Throw back Tuesday Ilikuwa mwezi wa 12 miaka mingi kidogo nyuma baada ya kwenda likizo Morogoro tulifikia kwa baba mdogo ambaye alikuwa anaishi maeneo ya tazara Siku moja majira Kama ya saa 8 au 9 baada ya kula msosi nikawa nimekaa kwenye kibaraza Cha mbele ya nyumba...
  15. Mohammed wa 5

    Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

    Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka. Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa darasa la sita afu mama amekaa kihasara tu mtoto anayaona mapaja ya mzazi wake baada ya kuingia Mimi...
  16. Mohammed wa 5

    Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

    Maisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 sasa hivi nipo mtaani napiga harakati zangu Mungu anasaidia maisha yanasonga JAPO familia yetu inajiweza kipesa sitegemei hela za nyumbani...
  17. O

    Watu wa Dodoma karibu wote ni CCM ikiwemo watu wa kijiji cha Mpwayungu

    Yaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM. CCM imeshika mizizi mkoa wa Dodoma na vijiji vyake vya mkoa huo ikiwemo kijiji cha mpwayungu. CCM imeshika mizizi...
  18. Mpwayungu Village

    Nipeni mbinu za kujiandaa kugombea Udiwani 2025 Kata ya Mpwayungu

    Sihitaji salamu maana nina hasira sana kuona maisha ya wananchi wenzangu yakiwa duni kutokana na sera mbovu za uongo za chama cha kijani. Nahitaji kuwatumikia wananchi wangu wa Kata ya Mpwayungu kupitia chama cha mioyo ya watu mwaka 2025 kama nitachaguliwa kupeperusha bendera. Naombeni tactics...
Back
Top Bottom