mpya

  1. M

    Iran na Hezbollah wamegundua teknolojia mpya ya Mawasiliano ambayo Israel kamwe haitawadukua tena.

  2. A

    Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
  3. Katika ajira hizi mpya za uwalimu, serikali inaitaji walimu 6 tu, Tanzania nzima katika soma la Economics

    Kwanza imenibidi nicheke, Ndugu yangu kaniomba hapa nimpe ushauri hasa ajaze mkoa gani kati ya iringa, morogoro na Dodoma kwa ajili ya oral interview... Yeye ni mwalimu wa Economics, sasa nikamuuliza kwani kwa ujumla mnaitajika walimu wangapi katika hilo somo? Ndiyo ananiambia kuwa Tanzania...
  4. J

    Mfumo mpya wa iphone utazuia wezi wa simu kuuza vioo, betri na kamera za iphone

    Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa. Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...
  5. J

    Usugu wa dawa za VVU waibua changamoto mpya za matibabu

    Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya umeonyesha. Usugu wa dawa dhidi ya vimelea vya magonjwa ni changamoto kubwa inayoikabili dunia kwa sasa...
  6. P

    Kisheria inakuwaje mtuhumiwa akileta ushahidi wa kughushi, naweza nikamfungulia lingine?

    Naulizia, inakuwaje kisheria kama Mtuhumiwa amewasilisha hati ya ushahidi iliyoghushiwa, Mbali na kuikataa isitumike, Je naweza nikafungua Shauri jingine dhidi yake Kwa kughushi nyaraka?
  7. Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

    Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi. Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi? Yaani...
  8. Uhamisho wa watumishi kwa njia ya Mfumo tunaomba u-refrect teknolojia mpya, kwa maana ya Kasi na uharaka zaidi

    Nitumie fursa hii kuishukru serikali yetu kwa huu mfumo wa ESS kwakweli nasema kutoka moyoni mwangu. God bless this 6th regime
  9. Dini mpya inaingia ulimwenguni

    Tulikuwa na dili za asili kila pahala ulimwenguni.. Kwenye baadhi ya maeneo mpaka leo zipo na zinaheshimika sana! Dini hizi ni dini zenye imani juu ya miungu.. Zisizoamini katika Mungu mmoja Binadamu huwa ni mwepesi kuchoshwa na kitu kilekile kwa wakati wote. Zikaingia dini zenye kuamini...
  10. Kutoka Kubeba Laptop Hadi Kuvaa Kifaa: AR na VR Zinafungua Dunia Mpya

    Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia teknolojia za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR). Kama bado hujaingia kwenye huu ulimwengu...
  11. Naibu Waziri Dkt. Biteko akutana na Balozi Mpya wa Uingereza Nchini

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na balozi mpya wa Uingereza nchini. Marianne Young. Lengo la mazungumzo hayo likiwa ni kujitambulisha kwa balozi huyo pamoja na kujadili masuala ya kipaumbele ya ushirikiano...
  12. Toyota harrier inatakiwa m31. Gari ipo Msasani/ostabey polisi mpya.

    Yes, Nauza harrier tako la nyani m31 karibuni sana. 0715 494920 & 0783 708437. Gari ipo Msasani karibu kabisa na kituo cha polisi ostabey mpya. (Mazungumzo yapo kidogo)
  13. U

    Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

    Naombeni sapoti yenu. Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub. Asanteni Pia karibuni sana.
  14. Mpya: Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.
  15. Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  16. J

    Amini usiamini vita waliyoianzisha Hamas huko gaza imefungua ukurasa mpya wa ufahamu na utapelekea kutimia kwa tabiri muhimu za biblia

    Nakusihi utumie muda wako kujielimisha kupitia mahojiano haya kwenye video hapa chini ambayo Zuby (gwiji aliyepata kumhoji Elon Mask) anamhoji Loay Alshareef, msaudia aliyezaliwa na kukulia Saudia ila kwa sasa amefanya makazi yake Abbudhabi, UAE. Highlights za mahojiano Zuby akiwa mtoto wa...
  17. Nembo Mpya ya Kigoma Region Tanzania | Jumuiya ya watu wa Kigoma

    Imeundwa August 25/ 2024 na kufanyiwa maboresho August 26-27/2024 LOGO Imeundwa na Kamati yetu ya Ubunifu kwa kushirikiana na kampuni ya Strain Org inayomilikiwa na MwanaKigoma. Imeundwa Kwa Gharama ya Tsh 110'000 + 30'000 za usajili. Nembo imeshakabishiwa BRELA kwa ajili ya usajili. NEMBO...
  18. I

    Mapendekezo ya katiba mpya ya kupunguza mamulaka kwa rais

    Katika kuzungumzia mamlaka ambayo yanaweza kutolewa kwa Rais wa Tanzania katika Katiba mpya, inahitajika kufikiria juu ya uwiano kati ya nguvu za kiutawala na uwajibikaji wa serikali. Hapa kuna baadhi ya mawazo kuhusu mamlaka hayo: 1. Kupunguza Mamlaka ya Kuteua: Rais awe na uwezo wa kuteua...
  19. Israel haina hamu na mateka mpya waliyesema wamemuokoa

    Mateka wa Israel aliyetajwa kwa mbwembwe nyingi kwamba aliokolewa hapo juzi amekuwa kama yule bibi wa kifaransa aliyeachiliwa huru na wanamgambo wa Mali miaka miwili iliyopita.Bibi huyo alimfanya Macron afupishe muda wa kumpokea uwanjani pale alipowasifia wanamgambo wa Mali na kuahidi kurudi...
  20. I

    Mapendekezo ya Katiba Mpya

    Katika mapendekezo ya katiba mpya nchini Tanzania, kuna maeneo kadhaa ambayo watu wengi wanapendekeza yafanyiwe marekebisho. Haya ni baadhi ya mambo muhimu: 1. Mipaka ya Madaraka ya Rais: Pendekezo ni kupunguza nguvu za madaraka ya Rais ili kuwe na uwiano bora wa madaraka kati ya mihimili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…