Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
Habari ya wikiend wadau..
Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida.
Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa.
Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .
Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo sio Leo anasema hivi kesho anabadilika. CHADEMA inahitaji mwenyekiti atakaye kuwa nembo ya chama...
Nawapa mbinu ya kimafya,
Hii mbinu sitarudia tena kuitoa
Ukipuuza usije unalia January
Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu
Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi
Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo
Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alitumia fursa hiyo kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
Nawasilisha hii hoja nikiwa na nia njema. Kama kuna mwenye update atoe ushirikiano ili tufahamu ni lini huu mfumo utaanza kutoa huduma hasa katika kipengele cha Uhamisho.
Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo.
Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo.
Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na...
Subwoofer mpya aina ya ALITOP inauzwa na imetumika wiki mbili tu tangu itoke dukani
Haina tatizo la aina yoyote ila nimepata dharula ndio maana nimeiweka sokoni
Subwoofer hii ni size ya kati siku kubwa sana wala sio vile vidogo hapana, ina mziki mkubwa tu na inatosha kwa matumizi ya nyumbani...
Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:-
1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi.
2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote.
Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote.
Katiba mbovu...
Habari zenu?
Natumaini wote mko salama.
Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi.
Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party.
Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake
Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai
Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria
Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani...
‘Instagram Algorithm’ ni mfumo wa unaotumika kwenye matangazo mbali mbali ya kibishara amabpo mtumiaji huwa analetewa matangazo yale yanayomusu kwankiwango kikubwa kulingana na viashiria mbalimbali (data collection) inavyovipata mtandaoni.
Sasa Tanzania tunaletewa hili tangazo la mfumo wa...
Ukiachana na wanafunzi ambao wanahudhuria shule ama vyuo ambako kuna madarasa na maeneo ya kujisomea, raia wa kawaida wanaotala kujisomea wanapata changamoto kweye mji huu
Hasa ukizingatia watu wengi wanaishi mitaa na mazingira yasiyo encourage utulivu wa kujisomea.
Kimbilio lao pekee...
Libreville, Gabon
Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu, Nitawaua Nyote Mnaohusika na mgao wa umeme ...
https://m.youtube.com/watch?v=aBdYmZ54h9A
Rais wa Gabon , Jenerali Oligui Nguema ametishia kuua wale wote wanaohusika na mitambo ya kuzalisha umeme 14 mzalishe umeme bila mgao nchi nzima...