mr excel

  1. GoJeVa

    SoC01 Majigambo ya nahodha na dereva

    MAJIGAMBO YA NAHODHA NA DEREVA. NAHODHA: Kazi ya majasiri..!!! Unahodha kazi nzuri, mtumbwi naendesha, Kwa nyuma naukalia, mawimbi naachanisha, Raha kisogoni naisikia, kasia langu kupigisha, Unahodha kazi nzuri, wengineo jifunzeni. DEREVA: kazi yenye heshima…!!! Udereva ni heshima...
  2. GoJeVa

    SoC01 Riziki anapanga mola au jitihada?

    RIZIKI ANAPANGA MOLA? AU JITIHADA?. Nitafafanua andiko langu hili kwa kuzingatia mitazamo miwili, yaani mtazamo wa kidhanifu (hapa nitajikita kidini zaidi) na mtazamo wa kiyakinifu (hapa nitajikita kisayansi zaidi). Hebu tuangalie ufafanuzi huo kama ifuatavyo; *UFAFANUZI...
  3. GoJeVa

    SoC01 Kufahamiana/Connections na kupata kazi

    KUFAHAMIANA (CONNECTIONS) KATIKA KUPATA KAZI. Kuna tabia imezuka sana katika jamii zetu na kadri tunavyosonga mbele inaelekea kuwa sugu, si nyingine tabia hii ni kupeana kazi/ajira kwa kufahamiana. Kwa lugha ya kiingereza tunaita CONNECTIONS. Katika andiko langu hili nitaangalia zaidi watu...
  4. GoJeVa

    SoC01 Taaluma ziheshimiwa maendeleo yapatikane

    TAALUMA ZIHESHIMIWE MAENDELEO YAPATIKANE. Kwanza kabisa tujiulize maswali mawili, Taaluma ni nini na maendeleo ni nini?. Taaluma ni ujuzi ambao mtu ameupata kutokana na mafunzo maalumu ya elimu kwa ajili ya kutoa huduma kwa jamii. Mfano wa taaluma ni kazi ambazo watu huitaji kusomea au...
  5. GoJeVa

    SoC01 Mimi na Cocaine

    Habari za muda huu, kifuatacho ni kisa cha kweli kuhusu madawa ya kulevya jinsi yalivyomtesa kijana Sulemani Gwakisa. === COCAINE/KOKENI. Karne hii ya ishirini na moja dunia imekumbwa na wimbi kubwa la watu kutumia madawa...
Back
Top Bottom