Simsomeshi mwanangu ili baadae aje kuwa ananipa hela. La hasha! Ninamsomesha mtoto wangu ili aweze kupata uwezo wa kujitegemea mwenyewe na kuwa responsible member of a society.
Kuwa responsible member of a society ni pamoja na kuwa useful to his or her parents or siblings in time of need like...