Kwa heshima na taadhima, ndugu zangu Makolo,
Nakuja hapa kuwashauri mlifanyie kazi wazo la hekima la Mr. Manguruwe
Huyu shabiki wenu, ametoa offer ya kuweka mzigo pale Msimbazi ili timu iweze kuwa na ukwasi, sharti lake yeye ni dogo tu, kuifanya timu kuwa public listed company
Pendekezo lake...