Wakuu Mr. Price yamewashinda kwa mara nyingine tena, wanafunga duka moja kwa moja.
Pia soma: Nakumat yainunua Shoprite Tanzania
Mazingira ya biashara bongo ni magumu sana au wenyewe ndio ndio wazinguaji?
Ilianza Shoprite wakabwaga manyanga, Game ikaangukia pua na sasa Mr. Price wamebwanga...