Waziri wa zamani wa Ardhi ameandika ukurasani X kwamba Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Bwawa la Mwalimu Nyerere lakini pamoja na kuzalisha Umeme Bwawa lilitakiwa kuregulate mafuriko Limeshindwa
Tibaijuka amesema Tudai kujua kwanini na kurekebisha tukitambua Hasara ya kutekeleza miradi...
anna tibaijuka
athari mafuriko rufiji
bwawalanyerere
mafuriko rufiji
mradibwawalanyerere
prof. anna tibaijuka
tanesco
ujenzi bwawalanyerere
umeme tanzania
UFAFANUZI KUHUSU ATHARI ZA MAFURIKO YA KIBITI NA RUFIJI KUHUSISHWA NA UJENZI WA BWAWA LA JULIUS NYERERE (JNHPP)
Alhamisi, 11 Aprili 2024
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kuhusu athari za mafuriko yanayoendelea katika maeneo ya Wilaya za Rufiji na Kibiti...
Serikali inatarajia kuwasha mtambo wa pili wa kufua umeme kwenye bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere pamoja na changamoto ya kuzidi maji katika bwawa hilo. Mkurugenzi wa Tanesco kanda ya mashariki, Kenneth Boymanda amesema majaribio yanaendelea ambapo mtambo huo unaojulikana kama mtambo namba nane...
AFRIKA tuna shida jamani. Sasa inabidi tumwombe Mungu apunguze mvua.
Mitambo inazama majini. Serikali imeshtuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua inanyesha kali viunga hivyo. Wakati wana dizaini bwawa hawakujua kuna siku mvua zitapiga, hakuna provision ya kuchepusha maji...
Rais Samia amesema suluhu ya Tatizo la umeme itapatikana April 2024 baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kuzalisha umeme wa Megawatt.470-500
Mambo mazuri yanakuja tuwe na subira
---
Rais Samia Suluhu Hassan amesema tatizo la upungufu wa umeme litakwenda kupata suluhu yake mwezi April mwaka huu...
bwawalanyerere
matatizo ya umeme kuisha
mgao kuisha
mradibwawalanyerere
rais samia
suluhu ya umeme
tanesco
ujenzi bwawalanyerere
umeme tanzania
uzalishaji umeme
Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa.
Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...
NISHATI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dkt. David Mathayo amesema Utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), umefikia 95.83% na utakamilika Juni 2024 huku Tsh. Trilioni 5.85 (89.24%) zikiwa zimelipwa kwa Mkandarasi.
Amesema...
My Take
Hongera sana Serikali ya awamu ya 6 na Tanesco Kwa sababu hii ni mapema zaidi kabla ya mwezi June ambao ulipangwa kabla.
Kufuatia uwepo wa mgao wa umeme nchin Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeuarifu Umma kuwa Februari 25,2024 mashine namba 9 ya kufua umeme kwenye bwawa la mwalimu...
Licha ya gaharama za uzalishaji wa umeme kutarajiwa kushuka baada ya kukamilika kwa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) Juni 2024, imebainika kuwa uzalishaji huo hautapunguza bei ya umeme kwa wateja.
Bwawa hilo linatarajia megawati 2,115 za umeme zitakazoingizwa katika Gridi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki shughuli ya kuanza kujaza maji kwenye bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) leo Desemba 22, 2022
Maharage Chande, Mkurugenzi wa TANESCO
Maji yanayopita katika mashine moja ya kufua umeme ni lita 225,000 kwa sekunde, wakati kwa...
Akizungumza na waandishi wa habari kutoka eneo la mradi huo uliopo katika bonde la mto Rufiji, Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka sasa ujenzi wa bwawa hilo umefikia asilimia 78.68 ambayo ni hatua ya awali ya kuanza kujaza maji na inategemewa kuchukua misimu miwili ya mvua iliyo...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Waziri Makamba...
Akiwa Clouds TV, waziri wa nishati January Makamba amesema bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere linaisha mwezi Juni mwaka 2024 na wameamua kwenda na uhalisia na hawaoni aibu kusema litaenda miaka miwili mbele kuliko tarehe iliyotarajiwa kwani kwa namna yoyote isingewezekana ile tarehe...
Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo
1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila...
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15.
Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme...
Mimi sio nabii, lakini angalau nikisema jambo nakuwa nimeona kijacho mbeleni, Naomba nikukumbushe jambo muhimu ambalo niliandika 13 March 2019 katika makala hii chini.
Katika makala hii nilianza kwakusema, "Vita vya Kiuchumi Tanzania chini ya mradi mtambuka wa maporomoko ya Rufiji, siasa ya...
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu...
Serikali yakabidhi mfano wa hundi ya shilingi bilioni 688.6 kwa kampuni ya Arab Contractor kwa ajili ya kuanza ujenzi wa mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya mto Rufiji.
Mkandarasi ujenzi Mradi wa Maporomoko ya Mto Rufiji Kampuni ya Arab Contractors ya nchini Misri imekabidhiwa hundi ya...
Kesho ni siku rasmi ya Wizara ya Nishati kuwakabidhi makampuni Arab Contractors na Elswedy Electrics eneo la Striegler's Goege kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme litakalotoa MW 2115 kuanza rasmi
PIA SOMA
Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la Rufiji (PHPP) Kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.