Mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Paul Makanza, ameongoza ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa kituo mama cha ujazaji gesi asilia kilichopo Mlimani, Dar es Salaam, ambapo ameeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa.
Akizungumza leo Jumatatu, Machi...
WAWEKEZAJI wakuu katika mradi wa gesi kimiminika (LNG) wahimiza Tanzania iharakishe mchakato, mradi Uanze
https://m.youtube.com/watch?v=29vTb7IfVy4
Katika viunga vya mkutano huo wa Wiki ya Nishati India ( IEW India Energy Week) naibu waziri mkuu aliye waziri wa nishati mheshimiwa Dr. Doto...
PART I: NAFASI YA WANALINDI KWENYE MRADI WA GESI LINDI.
Mradi wa kuchimba na kuchakata gesi asilia (LNG) Lindi mjini ni mradi ambao wakazi wengi wa Lindi wanautegemea uje ubadirishe maisha yao. Hata hivyo Wanalindi wengi hawajui mradi huu unahusu nini haswa na utaanza lini au kwanini haujaanza...
Majasusi wa Marekani wameanza kutumia vyombo vya habari kuitisha Tanzania kuhusu Mradi mkubwa gesi huko Kusini.
Makampuni haya makubwa yanalazimisha tuanze utekelezaji wakati huo kama kawaida sisi inaonekana tulikwenda kuwaita ila tulikuwa hatuajajiandaa. Wao wamefika na baada ya kuona...
MJADALA HURU WA KITAIFA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA MIMINIKA (LNG) MWAKA 2024
SEKTA NDOGO YA MAFUTA NA GESI
Mabibi na mabwana, wanasiasa, wafanya biashara, wajasiliamali, wanazuoni, wataalam wa fedha, wataalam wa uchumi, wahasibu, walimu, madaktari, wataalam wa mafuta na gesi, wataalam wengine...
MBUNGE ABDALLAH CHIKOTA ATAKA USHIRIKISHWAJI MRADI WA GESI ASILIA WA LNG
Mbunge wa Nanyamba (CCM) Abdallah Chikota ametaka watu wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuendelea kushirikishwa katika mradi wa Gesi asilia iliyosindikwa (LNG) kwasababu yapo mambo mengi yanayohitaji ushirikishwaji.
Chikota...
Na Mwl Udadis, Mtwara
Makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na kampuni za Equinor & Shell yamekamilika kwaajili ya uwekezaji katika mradi wa gesi asilia, mradi wenye thamani ya Dola Bilioni 42 (Fedha hii ni zaidi ya Bajeti ya mataifa ya Rwanda & Burundi kwa miaka 5).Kampuni za Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.