Habari Wana jamvi,mwaka 2021 halmashauri ya Manispaa ya Songea ilikwenda kata ya Subira iliyopo Manispaa ya Songea na kuhitaji ardhi zaidi ya ekari 300 kwa maelezo kuwa wana jenga mradi mkubwa wa mchezo wa golf.
Mradi huo ungehusisha ujenzi wa five star hotels, shopping mall na vivutio vingine...