Na Mwandishi wetu
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa Umwagiliaji Mkomazi unaofekelezwa na Tume ya Taifa ya Umwagilia (NIRC) mkoani Tanga.
Amesema, mradi huo umezungumzwa kwa miaka zaidi ya 50 sasa Serikali inajenga.
Akizungumza katika uwekaji jiwe la...