Hivi nilimsikia vibaya yule aliye kuwa shirika la NYUMBA la taifa ndugu Nehemia msechu yakuwa Kuna wizi mkubwa na upotevu wa mamilioni ya fedha kwenye mradi wa usafirishaji wa abilia Udart?
Je, nilimsikia vizuri alipo sema WAPO kwenye mazungumzo.na NMB ili iwakopeshe wanunue gari nyingine ...