Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185).
Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa...
📌 Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda
📌 Kila nchi yafaidika na megawati 26.6
📌 Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda
Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha megawati 80...
NEC RUKWA SULTAN SEIF ANAVYOKWAMISHA MRADI MKUBWA WA TAZA
Mradi huu Mkubwa wa Umeme sasa upo kwenye mashaka kutekelezeka kwa sababu ya hila Chafu za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa, Sultan Saleh Seif.
Tangu 2019 Tathmini ya Maeneo yote yanayopitiwa na Mradi...
Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza nchi nzima na kuuza ziada, Je ni kwa nini tunapoteza fedha tena kujenga mradi wa umeme kule Malagarasi?.
UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI JIMBO LA PERAMIHO
Mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. JENISTA J. MHAGAMA ameendelea na Ziara Katika Kata ya Parangu Kijiji Cha Litowa.
Mhe. Jenista Mhagama Katika Ziara Jimboni Peramiho...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Bahati Geofrey (36) Mkazi wa Kiwira na Emmanuel Mtofu (33) Mkazi wa Karasha ambao wanatuhumiwa kuvunja Ofisi ya Kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme – REA.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema awali mnamo...
SASA ZIMEBAKI ASILIMIA 33 TU KUKAMILISHA BWAWA LA KUFUA UMEME LA NYERERE
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere umefikia asilimia 67 na kubaki asilimia 33 tu toka ujenzi huo uanze na kusema kazi iliyokuwa ikifanyika kwa miaka miwili na...
Nimeziona sababu alizozitoa MD wa Tanesco Maharage Chande sijaona hata moja inayoingia Akilini.
Sehemu iliyonishangaza zaidi ni kuona MD wa Tanesco Maharage Chande akitutaka Watanzania tuache Kulaumu / Kulalamika huku akituasa tutoe Ushirikiano.
Hivi Wewe MD wa Tanesco Maharage Chande yaani...
Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022.
Mhandisi Dismas Mbote, Mhandisi wa ujenzi njia za maji pamoja na Bwawa kwenye Mradi wa Julius Nyerere amesema utekelezaji...
Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli keshokutwa Ijumaa Julai 26, 2019 ataweka jiwe la msingi katika Mradi wa kufua umeme wa megawati 2115 wa Rufiji ‘Stigler's Gorge’ uliopo mikoani ya Pwani na Morogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari...
SERIKALI imekabidhi rasmi eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (RHPP), kwa mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kwa pamoja na ile ya Elsewedy Electric zote kutoka nchini Misri.
Hatua hiyo sasa inaashiria kuanza kwa kazi ya ujenzi wa mradi huo wa umeme ambao utazalisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.