CHADEMA wa Kata ya Segerea mkoani Dar es Salaam, Kitomary Steven, amekanusha vikali madai yaliyoenezwa mtandaoni kwamba amepanga kumvua uanachama John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA.
Akizungumza na Jambo TV, Kitomary ameeleza kuwa taarifa hizo ni za uongo...
Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X,
"Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama!
"Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na...