Wadau hamjamboni nyote?
''Kila kitu ni bahati, mtu anaweza kuwa huku Tanzania akasema mrisho kashindwa na kuna stori zilikuja eti Mrisho kashindwa kumaliza kuku, lakini hizo ni stori tu mtu mmoja akiamua kuongea zinavuma, lakini kitu hicho cha kushindana kula hakuna'' - Mrisho Khalfani Juma...