Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.
Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.
1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi;
1.Uharaka katika kufanya malipo.
2.Usahihi katika gharama na muda uliotumika.
3.Usaidizi wakati wa kuegesha
4.Kujua sehemu sahihi ya kupaki iliyowazi...
Habari za leo wakuu
Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita
Na namna ya kuiset
Nawasilisha
Merry christmass
Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike.
Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu.
Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...
Mzuka wanajamvi!
Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake baada ya kufumaniwa.
Mifano ni mingi tu boda boda wakihusika kama wasamaria wema.
Mungu wabariki bodaboda.
Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani;
Kwa mfano '6XWE217
' '6WTY54'
Mimi ndiyo naanza kujifunza'
Maisha ni sanaa na kuishi ni maigizo tu. Dunia hii tunapita nyie mlioko maofisini kama mnaweza saidieni watu wanaoomba Msaada kwenu.Ilikuwa hivi jamaa nilikutana nae miaka mitatu nyuma mwaka 2022, ofisini kwa DC kwa yule Dada ambaye sasa hivi ni Don kule kwenye Chama cha kijani kibichi upande wa...
Nina Uhitaji wa mashine hii.
Nina uhitaji wa mashine ya kusagia vitu vigumu (Multpurpose grain grinders.Ikipatikana used au mpya nitachukua.
Nina uhitaji wa mashine hii yenye kuzaga kilo 2,3 hadi 5.
Mawasiliano yangu,
0621436829
Dsm
Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology .
Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine kusoma radiology ama kozi nyingne za afya. maana nimekuwa nikiambiwa kuwa Bado mfumo unanisoma chuo...
Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan.
Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita...
Wakuu habari za mida!
Nilinunua simu mkoa wa kigoma nikizani nmenunua samsung galaxy s10 plus... kumbe nmenunua docomo s10 plus sasa kinachonikera ni kuona ikiwaka inaonesha logo ya docomo bafala ya samsung inaonesha
Moja kwa Moja..
Baada ya Jeshi la Israel kufanya Sbambulizi la anga katika mwa Gaza na kukenga gari la shirika la msaada la chakula na kuuwa wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa ndani wakiweno raia watatu wa Uingereza , raia wa Poland , Australia na Palestina viongozi mbalimbali wamejitokeza...
HabarI za Leo Ndugu zangu.
Anayejua Dawa ya Maumivu ya Kiuno Na Mgongo.
Nafahamu hili ni suala la Ku- Sex Lakini Bado Sijapata MCHUMBA.
Nipo Busy sana na kazi Jumatatu Mpaka Jumamosi hivyo Nakosa Muda Mzuri wa Kuwasaka Wachumba.
Nimemeza sana Dawa Za Kutuliza Maumivu Lakini Naona imeanza...
Nadhani kuna wahuni wanatufinya sisi wengine hizi tende za msaada. Safari hii sheikh wangu J. Topeo anasema hakupata. Ni kweli au naye ananifinyia kwa ndani?
Serikali iingilie kati suala hili kwa kweli. Maana ni kama imetuacha wananchi wake. Tende ziingizwe nchini bure kwa wingi.
Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo.
Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho.
Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama...
Hope ni wazima.
Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla.
Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.
Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?
Lakini pia hakuna...
Sehemu ya 1.
sina budi kuendeleza hii stori.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo tulioana, mimi nilikuwa nafanya kazi. Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto...
Ni familia ya rafiki yangu mmoja.
Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki.
Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3.
Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.