Igweeee wananzengo,
Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao.
Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
Hallo wana JF.
Najua hapa wamejaa wataalam wa Magari pia.
Mkoko wangu Toyota Allex 2004 Model, ilianza kuwaka taa(Check engine) siku Moja baada ya Kufunga Android radio. Kama kawaida. Nikalazimika kuwaona madokta. Wakaifanyia Diagnosis ika display fault code P0171.
Code ambayo mara nyingi...
Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa.
Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app...
Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele.
Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza kitu ambacho utakubari ila kikifa utasema ni teknolojia imekuwa.
Historia inasema kulikuwa na watu...
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.
Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.
1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika...
Na Mwandishi Wetu
Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita
Uzinduzi wa Kampeni hiyo unatarajiwa kufanyika Januari 26, 2025 katika Uwanja wa CCM...
Habari wakuu, dogo amepata Div IV ya 28
Maths F
English F
Kiswahili C
History C
Geography D
Biology D
Civics D
Naomba ushauri asomee kozi gani ? Nataka mpeleka Certificate then Diploma.
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imezinduliwa rasmi tarehe 24 Januari 2025 katika mikoa sita ya Tanzania, ambayo ni Kigoma, Geita, Kilimanjaro, Tabora, Katavi, na Mtwara.
Kampeni hii inalenga kuwasaidia wananchi kupata uelewa wa masuala mbalimbali ya kisheria, kuongeza haki...
Habari ndugu kaka zangu na dada zangu wa Jf kwema habari za mida hii, poleni na majukumu ya kujenga TAIFA
Natumaini ni wazima kwa afya na mwenye changamoto MWENYEZI MUNGU ASAIDIE! ndugu zangu nimekuja na shida kidogo Nina mtoto mdogo hapa kidogo Hali yake imebadirika Toka asubuhi niliona kama...
Mheshimiwa Waziri,
Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Ndugu Marco Kachoma. Tangu mwezi wa Agosti 2024, tulipomuandikia barua...
Habari, inaonekana simu yangu imekuwa ikituma hizi code for sometimes now hasa kupitia mtandao wa Yas, zinafanana na last day imetuma jana usiku muda huo nilikuwa far asleep, kwa yeyote alie na idea hizi code zimeenda 15711 kwa ajili ya nini.? Nimelazimika ku crop screenshot sije nikawa nna...
Habari wana jukwaa.
Nina Halotel Mobile Wifi Mfi_0428F2 ambayo nimeitumia vyema kwa kipindi cha miaka 2, ghafla tu imeanza kuleta shida kama ifuatavyo.
Ukiweka line na kuwasha, mara inakwambia connecting....then inaconnect halafu baada ya sekunde 30 inaleta insert sim.
Wakati mwingine ukiiwasha...
Duru zinatabanaisha, Zelensky ameshajiandaa kukimbilia uhamishoni Nchini Uingereza endapo tu Rais Trump atatangaza usitishwaji wa msaada wa silaha na fedha zinazofadhiri vita ya Nchi yake dhidi ya Urusi.
Duru.