msaada tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Qashy Lilith

    Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia Naombe ushauri wenu?
  2. Lord denning

    Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

    Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania. Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
  3. The Sunk Cost Fallacy 2

    "Africa-Korea Summit" Korea Kusini Yasaini Mikataba 50 na Nchi za Afrika, Yaahidi Kutoa Misaada ya Dola Bilioni 10

    Korea Kusini imesaini mikataba 50 ya biashara,mikopo na sekta za Rasilimali na Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Rais wa Korea amesema anaendesha sera ya ushirikiano wenye faida kwa.pande Mbili huku akisema Nchi yake itaongeza Msaada Kwa Nchi za Afrika Hadi Dola Bilioni 10 ndani ya miaka 5...
  4. Pdidy

    VAR haina msaada Tanzania; unazi unaanzia kwa viongozi

    Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa...
  5. ChoiceVariable

    Benki ya Dunia Kutoa Msaada wa Shilingi Bilioni 700 Kusaidia Kilimo Cha Umwagiliaji Nchini

    Benki ya Dunia WB imeahidi kutoa Msaada wa dola milioni 300 sawa na Bilioni 700 Kwa Ajili ya sekta ya Kilimo. --- Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha Dola za Marekani milioni 300 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 702 za Tanzania ili kuimarisha miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji nchini...
Back
Top Bottom