msaada wa kisheria wa samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Pre GE2025 Makonda: Rais Samia amelipia gharama zote za Samia Legal Aid, wananchi msiwe waoga kudai haki zenu

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amepongeza juhudi za Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha haki inapatikana kwa wote kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia. Akizungumza Alhamisi, Machi 6, 2025, katika Uwanja wa TBA jijini Arusha, Makonda amebainisha kuwa...
Back
Top Bottom