msaada wa kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa kisheria kuhusu Ardhi

    Habari wakuu. Kuna mhusika ana eneo lake ukubwa ni heka moja Kwa vipimo vya macho lakini ndani ya Hilo eneo Kuna nguzo ya umeme laini kubwa ile ya 33. Sasa anataka kupeleka wataalamu wa Ardhi kwajili ya kupima ili kuweka mawe ya Ardhi (Bikoni). Gharama zimekaaje hapo wakuu na Je anaweza...
  2. Rufiji: 16003 wanufaika na msaada wa kisheria wa Samia Legal Aid

    Jumla ya watu 16003 wakazi wa vijiji 30 wilayani Rufiji mkoani Pwani wamenufaika na msaada wa kisheria bila malipo kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia. Hayo yamebainishwa na mratibu wa kampeni hiyo Wilayani humo Gloria Baltazari ambaye pia ni Wakili wa Serikali anayehudumu...
  3. Msaada wa kisheria Sumbawanga kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa

    Jumla ya Kata 10, Mitaa 15, Vijiji15, kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa huku wananchi 25,780 walifikiwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga katika zoezi la msaada wa kisheria ambalo kilele chake ni leo Machi 6 Katika Mkoa wa Rukwa. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa...
  4. T

    Mwabukusi amuomba Rais atoe ruzuku kwa taasisi zinazotoa msaada wa kisheria

    Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 alisema kuwa kuna umuhimu sasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa ruzuku kwa taasisi zinazotoa misaada ya kisheria kwa wannachi...
  5. T

    Pre GE2025 Mawakili wa Samia Legal Aid kusimamia kesi za wananchi mahakamani

    Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya...
  6. Pre GE2025 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Jumanne Sagini: Kampeni ya msaada wa Kisheria (Samia Legal Aid) itafikia mikoa yote mpaka Mei 2025

    Serikali imezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha haki inapatikana kwa wananchi wote, hususan wale wenye changamoto za kisheria lakini wasio na uwezo wa kugharamia huduma hizo. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo...
  7. Pre GE2025 Picha: Haya maandamano ya kuzindua Samia Legal Aid Campaign mkoani Mbeya yalikuwa na umuhimu gani?

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameongoza maandamano kutoka eneo la Mafiati hadi Viwanja vya Stendi ya Kabwe panapofanyika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika mkoa huo. Kampeni hiyo inaratibiwa na Wizara ya Katiba na Sheria.
  8. B

    RC HOMERA KUONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- MBEYA

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria. Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
  9. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo. Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za...
  10. Z

    Naomba msaada wa kisheria au mawazo dhidi ya mwenye nyumba wangu

    Habari za muda huu? Nilitafutiwa chumba na dalali maeneo ya Magomen Kagera pale maeneo ya Oil com, Hivyo basi nilitoa kodi ya miez 5 na Kodi ya 1 ya dalali jumla nikatoa tsh 360,000 kwasababu kodi ya chumba ilikuwa tsh 60,000. Sasa baada ya wiki moja alikuja mtu wa makamo na kujitambulisha...
  11. Wananchi wa wilaya ya Tanganyika waomba Kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia iendelee

    Wananchi wa vijiji vya Lwega na Mwese vilivyopo halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamesema kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia inapaswa iwe endelevu kwani imewajengea uelewa wa kufahamu mambo mbalimbali ikiwemo kutatua migogoro. Katika vijiji hivyo migogoro mingi...
  12. Kilimanjaro: Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba: Samia Legal Aid ni maalum kwa ajili ya wananchi wanyonge

    KATIBU Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi, amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, lengo lake kuu ni kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, hasa kwa wananchi wanyonge. Maswi, alikuwa akizungumza Januari 29, 2025 katika mkoani Kilimanjaro, wakati wa uzinduzi wa...
  13. Maelefu wajitokeza kupata elimu na msaada wa kisheria uzinduzi MSLAC mkoa wa Kilimanjaro

    Kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imepiga hatua kubwa tangu ilipoanzishwa, na uzinduzi wa mkoa wa 17 Kilimanjaro mnamo 29 Januari 2025 ni uthibitisho wa mafanikio yake katika kuenea kitaifa. Hapa ni tathmini ya maendeleo ya kampeni hii tangu kuanzishwa kwake: 1. Ufanisi wa Kampeni...
  14. Programu ya Mama Samia Legal Aid yatua kwenye makanisa ya Mtwara

    Ikiwa ni Jumapili, Januari 26, 2025 ni siku ya nne pekee tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mnamo tarehe 24 Januari, 2025 mkoani Mtwara, kampeni hiyo imeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya wananchi ili kutoa huduma na elimu ya masuala mbalimbali yanayohitaji...
  15. Ras Geita awakumbusha wataalam malengo ya kampeni ya msaada wa kisheria

    Na Mwandishi Wetu Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita Uzinduzi wa Kampeni hiyo unatarajiwa kufanyika Januari 26, 2025 katika Uwanja wa CCM...
  16. Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC)

    Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imezinduliwa rasmi tarehe 24 Januari 2025 katika mikoa sita ya Tanzania, ambayo ni Kigoma, Geita, Kilimanjaro, Tabora, Katavi, na Mtwara. Kampeni hii inalenga kuwasaidia wananchi kupata uelewa wa masuala mbalimbali ya kisheria, kuongeza haki...
  17. Msaada: Mambo gani yatanisaidia kushinda katika kesi yangu?

    Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria. Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi mahakamani, baada ya kutoka polisi nilienda kituo cha haki za binadamu, nikapewa form za CMA...
  18. Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu Kuvunjiwa mkataba

    Habari zenu humu
  19. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezindua Ripoti ya Msaada wa Kisheria-2023

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023. Uzinduzi wa Ripoti hiyo itaambatana na mjadala, ambapo kati ya wazungumzaji ni Dr. Helen Kijo-Bisimba, Dr.Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
  20. Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…