Dar es Salaam, Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kimetoa msaada wa mashine za kusaidia upumuaji kwa watoto wachanga ambao hupata matatizo ya kupumua mara baada ya kuzaliwa. Msaada huo, uliotolewa mwishoni mwa wiki, unakusudiwa kuokoa maisha ya watoto wachanga na kuimarisha huduma za afya katika...