Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike.
Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu.
Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...