msaada.

  1. Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    nguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu. Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito wa mnyama huyu nguruwe, ili nikimnunua nijue baada ya kutoa utumbo na kichwa angalau nitabaki na kilo...
  2. Naomba msaada wa kujibu hili swali

    Hllw guyz,naomba msaada wa hili swali. 1. ACustomer needs to get an Electric Circuit which will operate his DC Electric bell which Requires a Voltage input of 12Vdc and Current of 3.5A in his house. You as an Engineer you have ten resistors of 100R, 220R, 470R, 540R, 600R, 1K, 2.2K, 4.5K, 5.6K...
  3. Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

    Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu. 1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
  4. Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

    Nilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu. Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati. Afanyeje ili isivuje? N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili kuingiza bati na kuzibwa kwa cement ya water proof.
  5. Msaada. Makadirio ya kodi kutoka TRA

    Wakuu za leo. Katika kupambana na maisha nikaamua kuanzisha duka la rejareja almaarufu la mangi mitaa ya hapa Mwanza. Nikaenda TRA kusajili TIN bana jamaa wakakadiria kodi nilipe 250,000 kwa mwaka. Sasa yaani nimeshindwa hata cha kuongea nawaambia mimi kwa hii miezi miwili kwa siku hardly...
  6. Msaada: Unaondoaje Ukungu wa nje kwenye kioo cha mbele?

    Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizuri kabisa nimeenda nayo hadi sehem...
  7. Msaada: Mchanganuo wa Biashara ya Nyama ya Mbuzi

    Hongereni kwa mapambano ya uchumi. Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu. Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii...
  8. Msaada. Naomba picha za viwanda vilivyojengwa nchi nzima

    Hapo ulipo ndio panaitwa nchi nzima kwahiyo piga picha kiwanda kilichojengwa awamu hii uweke hapa. Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda. Na bidhaa zake na zinako safirishwa johnthebaptist Maendeleo hayana uvyama ndani yake.
  9. Changamoto kwenye Blockchain exchange nahitaji msaada

    Naomba kufahamu kama kuna mtu aliyeweza ku upgrade to gold level kwenye Blockchain exchange jamani. Nimepata challenge kwenye kuwa verified Kwa kutumia government issued ID (nilitumia voter's ID). Kama kuna aliyeweza kutumia passport au driving license pia naomba mwongozo, hii inanikwamisha...
  10. Wajuzi, hii inaweza kuwa ni aina gani ya simu?

    Hizo n screenshot kutoka kwenye series inayoitwa HANNA season ya pili, episode ya 7 Hiyo simu ilionekana nikaiscreenshot kama hivyo. Sasa naomba kama kunamtu kwa huo muonekano anaweza kuitambua anipe jawabu Natanguliza shukrani
  11. K

    Msaada kwa ufaulu huu unaweza kusomea kozi gani nzuri

    Civics=C History=C. Biology=C Chemistry=C English=C. Kiswahili=C. Geography=D. Math=F. Div(III) point 22. 2019. Ushauri wenu muhimu wadau katika kufanya maamuzi
  12. Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

    Nashindwa kufanya hivyo, sio kwa cable wala bluetooth. Any suggestion?
  13. Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

    Kwenye website ya IMF Tanzania Jana imeupdate taarifa yake lakini inaonekana kama imepikwa kwa sababu hakuna serikali imefanya kwenye kuhakikisha uchumi hautetereki hasa kwenye SME. Angalia nakala ambatanishwa. TANZANIA Background. Tanzania has reported 480 positive cases, and 16 deaths of...
  14. Rwanda na Ethiopia waomba msaada Marekani kupambana na corona, Trump aahidi kutoa msaada

    Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao. Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
  15. Hivi kuna shida gani kwa makampuni ya Courier hapa Tanzania msaada katika hili

    Habari zenu wakuu bila shaka ni wazima wa afya nina suala moja hapa linaniumiza kichwa na kukwamisha project yangu nimeandaa nimeandaa platformya e-commerce utendaji kazi wake ni ule ule wa ALIEXPRESS kwa maana amekusanisha stores and viwanda mbalimbali kuweka bidhaa zao katika website yake...
  16. Msaada: Nahitaji kuingiza WhatsApp kwenye Ipad yangu

    Wasaalamu wandugu! Jamaa yangu kaniletea iPad sijui hata model haina WhatsApp. Nahangaika namna ya kuingiza yangu jana bado inanizingua. Msaada wandugu nifanyeje ili niweke WhatsApp?
  17. R

    Msaada LAPF kuhusu fao la kujifungua

    Habar zenu ndugu zangu?.Natokea wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, naombeni msaada wa mawazo na muongozo kwa wale wanachama wa LAPF. Nilijifungua mwaka Jana 10/8/2018 nilijaza fomu na kuweka viambatanisho vyote kudai fao la uzazi. Tarehe 5/9/2018 barua zangu zilipokelewa ofisi za LAPF mwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…