msafara wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dede 01

    Je, marais wa Afrika wameambizana kutumia magari ya Toyota kwenye safari zao?

    Habari wakuu! Wakati natazama ujio wa marais wa Afrika kwenye ukumbi wa JNICC nimegundua ya kuwa viongozi wengi waliowasili wametumia magari yanayofanana kimuundo na yote yametengenezwa na Toyota. Kwa wale wajuvi wa mambo naomba mnieleze ni kwanini magari yao yanafanana na ni kwanini wanatumia...
  2. BARD AI

    Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  3. Not_James_bond

    Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?

    Katika nchi nyingi za Kiafrika, viongozi wa kisiasa wamekuwa wakikabiliwa na maswali na ukosoaji kuhusu matumizi ya rasilimali za umma. Moja ya mambo yanayozua mjadala mkali ni ukubwa wa misafara ya raisi, ambayo mara nyingi inajumuisha idadi kubwa ya magari. Hivi karibuni, suala hili...
  4. BLACK MOVEMENT

    Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  5. figganigga

    Nini kifanyike ili Viongozi wa Tanzania wapunguze Magari kwenye misafara yao? Ni aibu

    Salaam Wakuu, Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu. Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari ya Watu eti Waziri, Katibu, Mkurugenzi Mkuu wa Mkoa na Wilaya, IGP, nk wote kila mtu anaenda na gari...
Back
Top Bottom