msaidizi wa kazi za ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

    Wakuu, Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na...
  2. De Opera

    Faida ya kuishi na mfanyakazi kama rafiki wa karibu

    Habari za muda huu Wapwa?, ninaimani mnaendelea vizuri. Leo nitazungumza kuhusu kuishi na mtu hasa mfanyakazi awe ni House maid au office worker. Japo hata kwa mtu wa kawaida naye itamgusa pia. Kuna watu huwa wanalalamika juu ya kutendwa vibaya na wafanyakazi wao, kama vile...
  3. GENTAMYCINE

    Unampa msaidizi wako wa kazi muda wa kupumzika?

    Wakati wengine wanasema bora kwenda kazini kuliko kushinda na watoto na mzunguko wa kazi za nyumbani, kuna mtu hayo ndiyo maisha yake. Atafanya kazi za nyumbani kama kupika, kufua, kuosha vyombo, kusafisha nyumba na wakati mwingine kuangalia mifugo ya nyumbani kama kuku. Lakini bado ana jukumu...
  4. Damaso

    Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

    Mtoto Erickson Kimaro mwenye umri wa miaka nane anadaiwa kunyongwa na dada wa kazi Mei 31, nyumbani kwao Kimara Temboni jijini Dar es Salaam. Msichana wa Kazi za ndani mwenye umri wa miaka 13 Mkazi wa kata ya Moshono jijini Arusha anadaiwa kumuua kwa kipigo mtoto wa Boss wake mwenye umri wa...
Back
Top Bottom