Wakuu Mbingu zimeitika, niwasalimu kila mmoja kwa imani yake, hivyo hivyo neema ya Mungu ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake Popote ulipo.
Rejea mada tajwa hapo juu ,
Leo namtaka msajili wa vyama vya siasa nchini tz kukifutilia mbali chama cha CCM nchini kama chama cha siasa.
Machawa...
Wanachama wa chama cha Tanzania Labour Part {TLP} wamemtaka msajili wa vyama vya siasa kuacha kushirikiana na katibu mkuu wa chama hicho Limo kukiingiza chama katika mgogoro na wanachama wake walioko mikoani .
Wakiongea na msajili wa vyama Sisty Nyahoza kwa njia ya simu wamemtaka kuacha...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema ukisoma sheria ya Vyama vya Siasa utagundua Msajili wa Vyama vya Siasa hana nguvu yoyote ya kuishughulikia CCM kwa sababu haikusajiliwa na ofisi yake
Lisu amesema CCM ilisajiliwa kwa sheria ya mkoloni wakati ikiwa TANU na ndivyo ilivyo...
Kauli ya msajili ya vyama vya siasa na Jeshi la polisi kuhusu BAVICHA ina kila dalili kwamba watu hawa wamekaa kikao cha pamoja na kutoka na maazimio.
Kwa mtizamo wangu inaleta picha kwamba UVCCM wameshindwa kuandaa wanasiasa. Tumeona Zanzibar kwamba ilibidi Rais awepo ndipo agenda zao ziweze...
Wakuu salaam,
Kwa uelewa wangu kampeni huanza rasmi kwenye tarehe inayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na hii huwa ni kwenye mwaka wa uchaguzi kwa ngazi ya Wabunge.
Lakini pia baada ya mbunge kuchaguliwa, wewe unakuwa mbunge wa wananchi wote, kama unahutubia wananchi inamaanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.