msajili wa vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna nini Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa? Tangu kisajiliwe ACT Wazalendo, hakuna chama kimesajiliwa tena!

    Tanzania inatimiza miaka 32 tangu kurejeshwa rasmi kwa siasa za vyama vya vingi nchini. Julai, 1992 Tanzania iliweka wazi kurejesha mfumo wa siasa za vyama vingi, ambapo mwaka 1995 ulifanyika Uchaguzi Mkuu wa kwanza ulioshirikisha vyama vingi vya siasa. Mfumo wa vyama vingi, umesaidia kuwaleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…