msajili

  1. NCCR Mageuzi yaungana na CHADEMA, ACT Wazalendo kususia mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Chama cha NCCR- Mageuzi kimetoa hoja tatu za kususia mkutano ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) ikiwemo ya kutoshirikishwa katika maandalizi na kutokuwepo kwa uwazi. Mkutano huo umepangwa kufanyika Dodoma Oktoba 21 hadi 23, 2021 na utahusisha wadau watatu ambao ni...
  2. B

    Ubabe: Vyama, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Serikali Ukemewe

    Ofisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa. Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika katiba. Migongano inayotokea ni kwa sababu tu ya ukiukwaji katiba, ambapo hayupo aliyejuu ya...
  3. A

    Moja kati ya mapungufu ya katiba ni wepesi wa kufanya mapinduzi kwa serikali iliopo madarakani: Msajili ana uwezo wa kupindua nchi

    Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta. Hata hivyo vipi katiba yenyewe inaporuhusu kumuondoa raid kutokana na mapungufu ya kisheria..... Hilo ni moja tu kati ya...
  4. H

    Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barau nyingine CHADEMA, ataka wajieleze

    Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu" Aidha Msajili...
  5. Msajili, Jeshi la Polisi mmebeba dhamana ya amani yetu

    Kwa muda mrefu kumekuwa na mvutano kati ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, vyama vya siasa vyenyewe hasa vya upinzani na Jeshi la Polisi. Ukipekua Katiba ya nchi na sheria zetu unashindwa kuelewa kwa nini haya yanatokea. Kama kila mdau wa siasa angeisoma kikamilifu Katiba ya Jamhuri ya...
  6. ACT Wazalendo yakataa kushiriki Kikao cha Msajili

    TAARIFA KWA UMMA. Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21 Oktoba 2021. Baada ya tafakuri ya kina, ACT Wazalendo tumeamua kuwa HATUTASHIRIKI kikao hicho kwa...
  7. B

    Naibu Msajili Mahakama ya Uhujumu aainisha masharti ya kusikiliza kesi ya Mbowe

    16 September 2021 Dar es Salaam, Tanzania Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi azungumzia utaratibu wa kuingia ndani ya Mahakama Kuu Maalum na kusikiliza kesi inayowakabilu Mbowe na wenzie 3. Marufuku kurekodi kwa kutumia simu Hakuna katazo...
  8. B

    Je, Msajili wa Vyama vya siasa alikaa lini na IGP akaambiwa kuna kikao?

    Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa? Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho? Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati ya IGP na vyama hivyo? Hiki kikao kipo chini ya sheria gani? Maamuzi ya kikao hicho yatatekelezwa...
  9. Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

    Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
  10. Msajili wa vyama ingilia kati CHADEMA tupate viongozi

    Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania. Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi. Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo. Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha...
  11. Msajili wa Vyama vya Siasa adaiwa kumtaka Mnyika aandike barua ya maelezo kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu Rais Samia

    Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania. Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!
  12. P

    Swali kwa Msajili wa vyama:Nidhamu ya mwanachama yeyote ipo mikononi mwa nani?

    Kumekuwa namkanganyiko wa maamuzi ya kiuongozi katika vyama vya siasa hasa, CCM, CUF, CHADEMA NK Je, mwanachama anawajibika kwa katiba ya chama chake au kwa miongozo ya chama? Je, usajili wa chama huwa mwanachama mmojammoja huamua tu kuja kusajili chama? Chama cha siasa na Msajili nani...
  13. Msajili wa Vyama vya Siasa ahoji CHADEMA kuwafukuza Mdee na wenzake 18. CHADEMA wajibu kuwa hawawezi kutoa maelezo kwa Msajili

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14...
  14. Jaji Mutungi: Vyama vya siasa vifanye siasa kwa kuheshimu sheria za nchi, kuepuka lugha za uchochezi, dhihaka, dharau, vitisho na matusi

    Msajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.
  15. BMT, Msajili wa Vyama vya Michezo Wamkingia Kifua John Bayo

    Kaimu Msajili (Abeli Odena) naye ni ndg yake John Bayo. Je haki ya kumchukulia hatua Bayo itatendeka? Wote wenye mamlaka ya kimaamuzi ni ndg zake akiwemo Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo na Kaimu Katibu Mkuu wa BMT Bi Neema Msitha. Wote hao wanafuata maelekezo ya ndg yao (Filbert Bayi)...
  16. Pendekezo: Francis Mutungi na Sisty Nyahyoza waondolewe Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, wametumika kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa

    Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
  17. Mazungumzo kati ya Rais na Vyama vya siasa , Vyama vyaambiwa vipeleke ajenda zao kwa John Shibuda au kwa Msajili wa Vyama vya siasa Francis Mutungi

    Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi . Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda...
  18. Wakuu msaada hawa kikuu vipi

    Ndugu zangu mlowai nunua simu kikuu mnipe uzoefu, mi niliweka order tar 21 december 2020, lakini hadi leo karibia mwezi mzima lakini mzigo bado uko warehouse.
  19. W

    Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

    Ndugu zangu, Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT. Fuatilia mwenyewe hapa chini, Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.
  20. J

    Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

    Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni. Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…