A. SABABU 50 ZA KUUNGA MKONO.
1. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa itakuwa na jukumu la kusajili vyama vya siasa.
2. Kutoa elimu ya uraia ni jukumu la pili la Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa,
3. Ofisi ya Msajili kuwa ndiye msimamizi wa mienendo ya vyama vya siasa vyote nchini Tanzania...