msala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MFALME WETU

    Umewahi kuwa na msala? ilikuaje?

    ..
  2. Ushimen

    Mariam kaniletea ugomvi, namalizaje huu msala?

    Nikweli anaitwa Mariam "nime save kwenye ukurasa wa majina ya simu yangu", lakini kiukweli simjui huyu Mariam. Ipo hivi...... Jana nimetoka kupombeka, mida ya saa tano usiku nimekaa na mamaenu "wengine bibi yenu" Mariam akapiga sim, nikweli ninayo namba yake lakini simjui na sina ukaribu na...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    Maafisa Usalama wavamia nyumba za Diddy, akakimbia msala na ndege yake binafsi inafuatiliwa huko Antigua Caribbean

    JUST IN: Rapper Diddy's private jet has been tracked to the Caribbean islands after his homes were raided in relation to a s*x trafficking investigation. The jet appeared to land on Antigua in the Caribbean according to flight tracking data. At the moment, it is unknown if Diddy is actually on...
  4. Mi bishoo tu

    Mke wa mtu kaniletea msala

    Habarini za weekend Watanganyika, mwaka Jana nilikutana na dada mmoja mmoja Wilayani Bunda ambaye mmewe ni mmiliki wa hiace zinazoenda bunda-kibara-kisorya. Baada ya kupeana mawasiliano tukaanza chats za hapa na pale. Baada ya kuwa tumezoeana sana akaanza kulalamika kwamba mmewe kapata chombo...
  5. Akilihuru

    Nimeamua nihame Mji baada ya mke wa mtu kuniletea Msala

    Ni hivi, week iliyopita nilikwenda Tabata kumtembelea brother wangu anaeishi huko na familia yake. Tukiwa pale Tabata tumeketi mbele ya kibaraza kidogo kilichopo mbele ya nyumba ya brother wangu, ghafla nikaona jamaa mmoja na mwanamke ambae namfahamu ni mke wa mtu wanashuka haraka haraka na...
  6. mwanzo wetu

    Hajui private love Sasa ni msala.

    Habari wakuu, ndugu zangu naombeni ushauri, mm Kuna familia tunaishinao kama ndugu ila kimsingi siyo ndugu zangu just kukutana katika jumuiya za kanisani kusali, na nimekuwa ni kiwatembelea kwao. Katika familia hiyo kuna Binti wawili, tumekaa na hii familia kama miaka minne na nikiwa naogopa...
  7. Chura

    Nimeuziwa gari la urithi bila kuelewa, najinasuaje huu msala

    Niende moja kwa moja kwenye mada, mwezi wa 6, 2022 kuna jamaa aliniuzia gari Mkoa wa Mwanza (Crown 2010). Tukaandikishiana vizuri kabisa nikatoa hela nikapewa kadi, nikakamilisha taratibu kama bima nk sikuweza badilisha umiliki sababu ya kukosa nakala halisi za jina la mwenye kadi. Basi katika...
  8. Komeo Lachuma

    Kisa cha Shanga: Leo nimekutana na binti wa Kijijini ambaye nilifanya msala kijijini Wamama wakaja kusemelea kwa Bibi

    Likizo niliambiwa this time unaenda kumsalimia bibiyo. Nikaona si Issue....nikabadili mazingira huko Morogoro. Basi nikaenda kule kijijini nlikuwa gumzo miaka hiyo nimepiga pamba kali nimeweka na plata shavuni kama Nelly. Basi walikuwepo watoto wakali sana ila mimi domo zege halafu sina...
  9. Chura

    Nina-solve vipi huu msala?

    Wajuvi naomba msaada wa Kitaalamu, Unatoka zako Job mwanao wa damu anakupigia simu uende mahali mkale vyombo, unamsisitiza wewe umepumzika anakwambia hata maji tu na msosi basi unaamua kwenda. Umeenda kujiunga nao kupiga Vyombo ila ww ukawa hunywi, mwana na manzi yake wakawa wanaagiza sana...
  10. Mag3

    Chonde chonde Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, usiache mbachao kwa msala upitao!

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan naomba nikukumbushe tu kwamba kama si kwa mujibu na matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliyoapa kuihifadhi, kuilinda na kuitetea, kuna mashaka makubwa kama hivi leo ungekuwa Rais wa Taifa hili. Kwa bahati nzuri, kama ndani ya Katiba hiyo...
  11. The Boss

    Msala wamashukia Pogba

    Baada ya France kutolewa Euro msala umemshukia Pogba, inadaiwa hakusaidia defence Kabisa. Inashangaza hadi mama zao na Baba zao wamegombana. Hatari sana.
Back
Top Bottom