Wajuvi naomba msaada wa Kitaalamu, Unatoka zako Job mwanao wa damu anakupigia simu uende mahali mkale vyombo, unamsisitiza wewe umepumzika anakwambia hata maji tu na msosi basi unaamua kwenda.
Umeenda kujiunga nao kupiga Vyombo ila ww ukawa hunywi, mwana na manzi yake wakawa wanaagiza sana...